NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Monday, October 31, 2016

MSANII MABESTE NA MENEJA WAKE LISA FICKENSCHER WAFUNGA NDOA *PICHAZ*

 Msanii wa muziki wa hip hop Mabeste weekend hii amefunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwae, Lisa Fickenscher. Wawili hao tayari wana mtoto mmoja aitwae, Kendrick Mabeste. Kupitia instagrm, Mabeste ameandika: Morning .. Hatimae nimeopoa Jana Thank you sana My Big brother Jesus And Thank you Rapa huyo amekuwa ni miongoni mwa wasanii wa bongofleva waliofunga ndoa mwezi huu baada ya Tunda Man pamoja Nyandu Tozzy kufunga ndoa...

DARASSA ADAI KUJA NA COLLABO NA CHRISTIAN BELLA

Rapper Darassa amefunguka kuwa muda si mrefu atakuja na collabo yake na Christian Bella. Akiongea na kipindi cha Clouds Top 20 cha Clouds FM, Darassa amesema kuwa amefurahi kusikia kuwa Bella anamkubali sana kwa hiyo mashabiki watarajie kazi yao ya pamoja. “Jana [Jumamosi] tulikuwa tumekaa sehemu nikasikia mtu anasema kuwa Christian Bella ananikubali sana, hata mimi ni shabiki wake mkubwa. Tumepanga kufanya collabo, mashabiki wasubirie kitu...

IYANYA ASAINISHWA NA MAVIN RECORDS YA DON JAZZY

Himaya ya Mavin Records imemsanisha msanii heavy weight, Iyanya. Mkali huyo anaungana na orodha iliyoshiba ya Mavin inayojumisha wakali kama Tiwa Savage, Dr SID, D’Prince, Di’Ja, Korede Bellona Reekado Banks. Katika kumtambulisha Iyanya kwenye label yake, Don Jazzy ameandika kwenye Instagram: The SUPREME MAVIN DYNASTY is pleased to welcome @Iyanya to the ever growing Mavin Family. Pls join us to welcome him and let the world know that we...

WEMA SEPETU AMUANDIKIA UJUMBE MISS TANZANIA MPYA

Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu amedai mshindi wa shindano la Miss Tanzania 2016, Diana Edward alistahili kuchukua taji hilo. Kupitia Instagram, Wema ameandika: When You Nailed that question Properly, I knew that The Crown was Yours…. Congratulations mdogo wangu… You deserve it… And I have a very good feeling about Your performance in the Miss World Beauty Pageant…. You will do Tanzania Proud… @dianaflave @dianaflave @dianaflave @dianaflave...

UTALII WA NDANI: MAKONDA AZINDUA NEMBO ‘I LOVE DAR’

Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, Paul Makonda amezindua nembo ya I love Dar (naipenda Dar) inayobeba dhana nzima ya utalii wa ndani hususan mkoa wa Dar es Salaam. Tukio hilo lilotokea juzi usiku majira ya saa saba huku likishuhudiwa na mamia ya watu waliojitokeza kwenye uzinduzi huo uliofanyikia katika baa ya Element iliyopo Oyster bay. Akizungumza baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa nembo hiyo Makonda alisema kuwa ni hatua nzuri kwa wadau...

BEYONCE, KELLY ROWLAND NA MICHELLE KUIRUDISHA DESTINY’S CHILD?

Mashabiki wa kundi la Destiny’s Child wameanza kupata mshtuko baada ya kuona dalili zinazoonyesha kuonekana kurudi tena kwa kundi hilo. Hii ni ndoto ya muda mrefu kwa mashabiki wa kundi hilo. Mshtuko mkubwa ulianza kuibuka wiki iliyopita baada ya kuonekana kufunguliwa kwa akaunti mpya ya mtandao wa Instagram inayotumia jina la kundi hilo ambayo mpaka sasa imefanikiwa kupata follower’s 32.2k na kuwa verified kwa muda mfupi zaid...

PAKUA NA UIANGALIE BRAND NEW VIDEO YA GODZILLA FT MAUA SAMA - YOUR BODY

Wakuitwa Godzilla humu ndani katika Your Body amefanya uhalifu wa kutosha na Maua Sama ndio mshirika wake. Aisseeeee nimeona sio mbaya nikusogezee kichupa chake kipyaaa. Kumbuka kama nawe pia ni msanii au una rafiki, ndugu, jamaa ambaye ungependa kuiona kazi yake kupitia mtandao huu basi wasiliana nasi kupitia  # +255 715 002 890 Email: ulimwengu.habari@gmail.co...

ANGALIA BRAND NEW VIDEO YA FEMI ONE - PILAU NJERI

Unaweza muita Femi One, nimekusogezea hapa kichupa chake kipyaaaa.. Kama pia wewe ni msanii na ungependa kazi yako unapenda ionekane kupitia mtandao wetu, wasiliana nasi kwa # +255 715 002 890 Email: ulimwengu.habari@gmail.com utapata furusa ya kazi yako kuonekana! ...

MANISPAA YA ILALA JIJINI DAR KUWAONDOA WAFANYABIASHARA WOTE WALIO KANDO KANDO YA BARABARA ZA MWENDO KASI

HALMASHAURI ya manispaa ya Ilala jijini DSM kesho inaanza rasmi Operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara wote wanaoendesha biashara kando ya barabara za mwendo kasi kuanzia eneo la Gerezani Kariakoo hadi Fery Kivukoni kwa kuwa kufanya hivyo ni kwenda kinyume cha sheria mbali ya kusababisha usumbufu na ajali kwa watembea kwa miguu. Mkuu wa wilaya ya Ilala Sofia Mjema akizungumza na waandishi wa habari amesema zoezi hilo litaanza mapema asubuhi...

SERENGETI NA BUNDA WANUFAIKA NA UWEKEZAJI WA SINGITA GRUMETI

Mkurugenzi wa Singita Grumeti Stephen Cunliffe (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk. Charles Mlingwa msaada wa madawati 500 yenye Thamani ya Tshs Milioni 112 kwa ajili ya Wilaya za Serengeti na Bunda katika hafla iliyofanyika Shule ya Msingi Makundusi Wilayani Serengeti. Mkurugenzi wa Singita Grumeti Stephen Cunliffe (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mara Dk. Charles Mlingwa msaada wa madawati 500 yenye Thamani ya Tshs Milioni 112...

KIFO CHA MUUZA SAMAKI CHAZUA MAANDAMANO MOROCCO

Picha: Reuters. Maandamano baada ya muuza samaki kukanyagwa na lori hadi kufa nchini Morocco Maelfu wa raia wa Morocco walifanya maandamano wikendi hii katika miji kadhaa baada ya muuza samaki mmoja kukanyagwa hadi kufa na lori la kubeba takataka alipokuwa akijaribu kuchukua samaki wake ambao alikuwa amepokonywa na maafisa wa polisi. Kifo cha Maouhcine Fikri katika mji wa kaskazini wa Al-Houciema siku ya Ijumaa kilizua hasira kali miongoni...

Saturday, October 29, 2016

NEW COUPLE IN TOWN: MPENZI MPYA WA LINAH MMMH!

Ule usemi wa Kiswahili unaosema ‘penzi ni kikohozi kulificha hauwezi’ unazidi kujidhihirisha kwa malkia wa muziki Linah Sanga baada ya kumweka wazi mpenzi wake mpya ikiwa miezi 6 toka adai hatoweka tena mahusiano yake wazi. Linah akiwa na mpenzi wake Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Raha Jipe Mwenyewe’ mapema mwaka huu alidai kuweka wazi mahusiano yake ya mapenzi kunamwaribia muziki wake kutokana na mashabiki wake kupenda kufuatilia...

JAH PRAYZAH AMSHUKURU DIAMOND KWA KUMWEKA KWENYE RAMANI YA AFRIKA

Ukishikwa mkono na waliokutangulia na wewe shika wengine walio nyuma yako. Davido kupitia Number One Remix, alimtambulisha Diamond kwenye ramani ya Afrika. Baada ya miaka michache, Diamond pia amefanikiwa kuwatambulisha zaidi wasanii wengine kwenye jicho pana la muziki wa bara hilo. Miongoni mwao ni Akothee wa Kenya na Jah Prayzah wa Zimbabwe. Jina la Prayzah limekuwa kubwa nje ya Zimbabwe mwaka huu baada ya kumshirikisha Diamond kwenye wimbo...

MIMI NI RAPPER PEKEE BONGO NINAYESHINDANA NA WASANII WA KUIMBA – MR BLUE

Mr Blue amedai kuwa yeye ndio rapper pekee anayeshindana na wasanii wanaoimba. Rapper huyo amesema hayo kwenye kipindi cha Friday Night Live cha EATV wakati akifafanua sababu ya kutumia aka nyingine siku za hivi karibuni ‘Most Expensive MC’. “Unajua mimi ndio rapper pekee ninayeshindana na wasanii wa kuimba. Ukiachilia mbali kwa mali nazomiliki lakini hata mashairi yangu, ninaweza nikakaa mwaka mzima nikatoa nyimbo mmoja au mbili na zikafanya...

ANGALIA VIDEO MPYA YA ABBY SKILLZ FT ALIKIBA & MR BLUE - AVERINA

Baada ya kimya kirefu, msanii mkongwe wa Bongo Fleva Abby Skillz ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘Averina’ aliomshirikisha Alikiba na Mr Blue. Video hiyo imeongozwa na director Pablo. Tazama video hiyo hapa chini....

HAPPY BIRTHDAY RAIS WA TANZANIA MAGUFULI

IKIWA leo ni siku ya kuzaliwa ya Rais Dkt John Magufuli  watu wa fani na rika mbalimbali wameendelea kumpongeza kupitia mitandao ya kijamii. “Ninamshukuru Mungu kufikia siku yangu ya kuzaliwa,ninawashukuru watanzania nyote kwa kuniombea,” ameandika kwenye Twitter. “Nitafanya kazi kwa moyo nanguvu zangu zote,” ameongeza. “Ninaahidi kuendelea kufanya kazi kwa moyo na nguvu zangu zote kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Mungu Ibariki Tanzania.” ULIMWENGU...

DUMA WA SIRI YA MTUNGI KUACHIA ‘CHUN’TAMA’ AKIWA NA MASTAA KIBAO

Msanii wa filamu Daudi Michael Tairo, anayefahamika zaidi kwa jina la Duma ndani ya tamthilia ya Siri ya Mtungi, amejipanga kuachia filamu yake mpya iitwayo ‘Chun’tama’. Mwigizaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa filamu hiyo itakuwa inazungumzia maisha halisi wa watanzania pamoja na masuala ya uchawi. “Baada ya kufanya vizuri katika filamu yangu ya ‘Mchongo Sio’ nikaona nisikae kimya sana. Kwahiyo nimeamua kuachia filamu mpya inaitwa Chun’tama. kwenye...

ANGALIA VIDEO MPYA YA IBRAHNATION – NILIPIZE

MSANII Ibrahnation baada ya kufanya na audio ya wimbo “Nilipize”, ameachia video mpya ya wimbo huo angalia hapa, video imeongozwa na Geneouz Jeff....

BEN POL: SI LAZIMA KUMSHIRIKISHA MTU ILI WIMBO UWE MKUBWA

Mkali wa muziki wa RnB, Ben Pol amefunguka sababu inayoweza kuufanya wimbo ukawa mkubwa. Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio kuwa wimbo ukiwa mzuri ni rahisi kuhit hata usipomshirikisha msanii mkubwa. “Kinachoboost wimbo si msanii bali ni wimbo wenyewe. Ukiangalia ‘Moyo Mashine’ nimeimba mwenyewe umekuwa mkubwa, ‘Sofia’ niliimba mwenyewe lakini wimbo ulikuwa mkubwa sana,” amesema Ben. Ben Pol ameongeza kuwa...

UTAFITI: KUKUMBATIWA NA UMPENDAYE WAKATI WA MAUMIVU KUNA NGUVU ZAIDI YA PARACETAMOL

Kumbatio kutoka kwa mtu umpendaye, linaweza kuwa na nguvu zaidi ya Paracetamol pale unapokuwa na maumivu, kwa mujibu wa utafiti. Wanasayansi wamebaini kuwa hisia za ukaribu tunazozipata kupitia mtu anayetushika, kunaweza kusaidia kupunguza maumivu. Lakini kushikwa na mtu usiyemjua, kunaweza kusiwe na matokeo yale yake, kwasababu hatuna hisia nao. Utafiti huo unaonesha nguvu ya ubongo kuzuia hisia za maumivu. Utafiti huo ulifanywa na wataalam...

ANGALIA VIDEO MPYA YA ANGEL BENARD – KIU YANGU

...

NYIMBO 5 ZA BONGO FLAVA ZENYE UJUMBE AMBAO SI RAHISI MSANII WA LEO KUUFIKIRIA

Muziki ni sanaa, na sanaa ni ubunifu na upekee. Tasnia ya muziki wa Bongo flava ina miaka zaidi ya 20 sasa na kiukweli tasnia hii imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Ndani ya kipindi chote hicho cha miaka zaidi ya 20 tumeshuhudia uwepo wa wasanii wengi wenye vipaji maridhawa na nyimbo zenye tija na ubunifu na upekee wa hali ya juu sana ambazo pengine kama wao wasingeimba basi zisingekuwepo kabisa. Kwa mtazamo wangu, hizi ni nyimbo 5 za Bongo...

SASA WEMA SEPETU NA AUNTY EZEKIEL MAMBO SAFI

Hii ni picha aliyoiweka Wema Sepetu kwenye mtandao wake wa Instagram Wawili hao wameonekana kutokuwa na tatizo baada ya madam Sepenga kuweka picha ya Aunty akiwa na mwanae Cookie aliyezaa na dansa wa Diamond, Mose Iyobo kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika ujumbe ambao umeonekana kutoa watu machozi. Wema ameandika kwenye mtandao huo: My Picture of the day…!!! This is tooo Cute…. Mola akukuuzie Cookie wako Tiake…. #Priceless  Dah…...

WCB WALIIZIDI UJANJA LEBO YA SHAA 'SK MUSIK' KUMSAINI MSANII HUYU *PICHA&VIDEO*

Label ya Shaa, SK Musik, ilizidiwa ujanja na Wasafi Records ya Diamond na kumwahi kumsainisha msanii wa huyu wa kike. Jina lake ni Zoccu. Mwaka jana alishiriki kwenye shindano la Tecno Own The Stage lililofanyika nchini Nigeria. Akizungumzia wasanii aliowapata kwaajili ya kuwasimamia kupitia label yake, Shaa alisema alimpata Zoccu lakini akachelewa na hatimaye kukuta mwana si wake. “Nilimpata bwana binti mmoja anaitwa Zoccu lakini nikawa...

ANGALIA VIDEO MPYA YA AVRIL – YULE DAME

Muimbaji wa Kenya, Avril ameachia video yake mpya ya ‘Yule Dame’ iliyoongozwa na Q Bick akishiikiana na Lawdak. Tazama video hiyo hapa chini...

UMEUONA UJIO MPYA WA RAY C KIMUZIKI? *PICHAZ/VIDEO*

REHEMA Chalamila, how I wish arudi tena kwenye chati kama zamani. Ray C – kama unavyomjua zaidi, amepitia mapito mengi, na tena yaliyojaa njia yenye mbigili ibakishayo maumivu mguuni. Miaka minne iliyopita, kwa hali aliyokuwa nayo, kila mtu alimkatia tamaa kuwa ndio basi tena ameshatumbukia kwenye shimo waliloshindwa kutoka vijana wengi. Matumizi ya madawa ya kulevya yalimuongezea jina la uteja lililolifunika jina lake la utani ‘kiuno bila...

MR BLUE ATAJA JINA ANALOTUMIA BAADA YA ‘SIMBA’ KUPOKONYWA

Rapper huyo amesema kuwa kwa sasa anatumia jina la ‘Nyani Mzee’ kama jina lake jingine la utani. “Actually kwa sasa jina la Simba nimeliacha ila kwa sasa natumia jina la ‘Nyani Mzee’ nikimaanisha nimekwepa mshale mingi. Nasubiri na hilo wachukuwe nitafute jina jingine,” amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio. Mwezi Disemba mwaka jana Mr Blue na Diamond waliingia kwenye mzozo kuhusiana na jina la ‘Simba’ huku kila mmoja akidai ni l...

ANGALIA VIDEO MPYA YA KID INK – ONE DAY

...

RAPA NYANDU TOZZY AFUNGA NDOA KIMYA KIMYA *PICHA*

Nyandu Tozzy Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Kundi la BOB, Nyandu Tozzy amefunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu. Rapa huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Kiboko ya mabishoo’ amekuwa ni msanii wa pili ndani ya mwezi huu kufunga ndoa baada ya October 15 msanii kutoka Tip Top Connection Tunda Man kuvuta jiko huko mkoani Morogoro. Baadhi ya wasanii pamoja na wadau mbalimbali wa muziki wamepongeza msanii huyo kwa hatua...

ZILIZOSOMWA ZAIDI