Saturday, December 3, 2016

MAJINA MATATU YALIOBAKI KUWANIA TUZO YA KOCHA BORA WA DUNIA MWAKA 2016

SHIRIKISHO la mpira wa miguu duniani FIFA, wametangaza majina ya makocha watatu waliobaki katika kinyang’anyiro cha kuwania.
Tuzo ya Kocha Bora wa Dunia mwaka 2016 ambapo mshindi atatangazwa Januari,9,2017 huko Zurich.
Haya ndio Majina ya makocha hao
1.Claudio Ranieri – Leicester
2.Fernando Santos – Portugal
3.Zinedine Zidane -Real Madrid
Kocha gani unaona anastahili kubeba tuzo hii andika komenti yako hapo chini

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI