Saturday, November 26, 2016

SIKILIZA NA UPAKUE BRAND NEW *AUDIO* YA ASHANTI FT JA RULE – HELPLESS

Baada ya kupita kwa miaka mingi tangu Ashanti na Ja Rule waliposhirikiana kufanya wimbo wa pamoja – sasa wawili hao wamekutana tena kwenye wimbo mpya ‘Helpless’ wa Ashanti aliomshirikisha Ja Rule. Usikilize hapa chini.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI