NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Tuesday, February 24, 2015

HUDDAH MONROE ACHAFUA TENA HALI YA HEWA, MASHABIKI WAMCHANA BAADA YA KUTUPIA PICHA YA UTUPU AKIWA KITANDANI! (18+YRS)

Huddah Monroe ameshajikubali kuwa ni ‘good girl gone bad’ na ndio maana haoni tatizo kuweka picha akiwa kitandani kama alivyozaliwa. Mrembo huyo wa Kenya amepost picha kwenye akaunti yake ya Facebook akiwa kitandani huku akiwa amejifunika na shuka sehemu ndogo tu ya mwili wake kuficha sehemu ny*ti. Mashabiki wake hawakusita kumchana. “Dnt you fear God?oh I like your beauty and en everything mash Allah but this idea of being naked subhanallah...

Sunday, February 22, 2015

AMBER ROSE AMJIBU KANYE WEST: ALIPOOGA MARA 30 ILI KUWA NA KIM BAADA YA KUACHANA NAYE

  KWENYE mahojiano na kipindi cha ‘BreakFast Club’ Kanye West alimkejeli mpenzi wake wa zamani Amber Rose kwa kusema alibidi aoge mara 30 baada ya kuwa naye ili Kim kardashian awe naye. Kanye West alisema “Kim k angekubali kuwa na mimi kabla ya Amber basi nisinge kuwa na Amber Kabisa, ni ngumu kwa mwanamke kuwa na mwanaume aliyewahi kuwa na mahusiano na Amber, nilibidi nioge mara 30 ili Kim K anikubali”. Amber amejibu kupitia twitter yake...

KANYE WEST AFUNGUKA KUHUSU ALBUM MPYA LICHA UBORA WA MUZIKI WAKE KUWEKWA KIKAANGONI

Kwenye interview na kipindi cha ‘BreakFast Club’ kwenye kituo cha Power 105.1 Kanye West amesema “Album yake mpya imekamilika kwa asilimia 80 tu mpaka sasa, na anajaribu kuimalizia na kuwapa watu”. Kuna uwezekana ikatoka kwa mtindo wa kushtukiza kama ilivyotoka album ya Drake na Beyon...

LULU AINGIA KATIKA 'TOP 10' YA WAIGIZAJI WA KIKE WENYE MVUTO AFRIKA! *PICHAZ*

Tasnia ya filamu Afrika inakuwa kila siku kiasi kwamba zile ndoto za kufanya kama wenzetu wa  Hollywood    (Marekani) na Bollywood (India) huenda siku moja zikatimia. Kama ilivyo Hollywood na kwingine kwenye waigizaji wa kike wenye mvuto, wapo pia waigizaji wa kike Afrika ambao ni ‘visu’.Leo hii ikihitajika Top 10, kila mmoja atakuwa na yake lakini mtandao wa umefanya kazi ya kuorodhesha waigizaji 10 wa kike wenye mvuto...

AMBER ROSE ALIPOACHIA *PICHAZ* ZA KU#BREAKTHEINTERNET TENA! (+18YRS)

 Mwanamitindo aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa Amber Rose ’31’ amerudia tena mtindo wake wa ku BreakTheInternet kwa kuweka picha zake akiwa kwenye pozi tofauti. Mara ya kwanza Amber kufanya hivi ilikuwa August 2014 wakati album ya mume wake Wiz Khalifa ‘Blacc Hollywood’ ilivyoshika namba moja kwenye chati za Billboard hot 200. ...

MSHUHUDIE ANAYEDAIWA KUWA MKUU MPYA WA WILAYA MOJA NCHINI…NI SHIIIIDAH *PICHAZ*

Jana Siku Nzima Msichana huyu anayejulikana kama Nice Chande ama @mwakalicious24 amepaishwa sana kwenye mitandao ikisemekana kuwa Rais kamchangua kuwa Mkuu wa Wilaya … Watu wengi waliguswa hasa kutokana na umbo lake matata ....Bado hatujapata ukweli wa jambo hili lakini haraka haraka nimeangalia majina ya wakuu wa Wilaya wapya sijaona jina lake labda awe anatumia jina jingine ...Jionee Picha zaidi Hapa Chini: ...

WATOTO WA KIZENJI KULA BATA KATIKA KIWANJA HIKI CHA KUFURAHISHA WATOTO TIBIRINZI *PICHAZ*

Picha za baadhi ya Mapembea, ambayo yameshafungwa katika Kiwanja cha kufurahishia Watoto Tibirinzi Kisiwani Pemba.  Picha na MARYAM SALUM-PEMBA...

TAARIFA: SEHEMU ULIPO MSIBA WA MEZ B & SIKU ATAKAYOZIKWA MKOANI DODOMA

MSIBA wa Ndugu yetu Mez B upo Maeneo ya Kisasa hapa Dodoma!!!Nashukuru kwa Ushirikiano wa Wasanii Wakongwe hapa Dodoma #‎MakoleHexagon#‎MazichiReality na wengne wote Mnaoshiriki Vyema Kutupatia Habari, wakiwemo wana Familia Wa Mez B na Team nzima ya #‎ChembaSquard....Mazishi ya Ndugu yetu ni Juma Tatu.....Hopeful Kwa Mlio Dodoma Mnaendelea Kupata taarifa zaid kupitia  Boss Ngas Tz na 97.7 Nyemo Fm,vile vile kwa mlio mbali...

ICHEKI BRAND NEW VIDEO YA BARNABA & VANESSA MDEE - SIRI

...

Thursday, February 19, 2015

TUDD THOMAS KUWASIMAMISHA TENA DIAMOND PLATNUMZ NA NAY WA MITEGO *PICHAZ*

TUDD Thomas ndiye producer atakaye simamia kazi mpya ya wasanii Diamond Platnumz na Nay wa Mitego, Walikesha usikuwa wa kuamkia 19 Feb 2015. Wimbo utafanyika Surround Studios. ...

T.I AMFUNGUKIA MPENZI WA ZAMANI WA IGGY AZALEA KUTAKA NUSU YA PESA ZAKE

RAPA T.I. anayepewa hishima ya kumgundua msanii Iggy Azalea amesema mpenzi wa zamani wa Iggy ‘Jefe Wine’ hana haki ya kupata pesa yeyote kutoka kwa Iggy na muziki wake. T.I. amesema ataacha tatizo la Iggy Azalea lishughulikiwe na wanasheria wake ila haoni sababu ya kijana huyo kupewa pesa za Iggy au kupokea malipo yeyote. Siku chache nyuma TMZ iliripoti kuwa mpenzi wa zamani wa Iggy Azalea anasema walifunga ndoa mwaka 2008 na anashahidi ambaye...

ICHEKI BRAND NEW VIDEO YA STEVE RNB - ‘POLE POLE’

Hi video mpya ya Steve Rnb inaitwa Pole Pole, video imetayarishwa na Urban Videos ...

HUDDAH THE BOSS CHICK ATOA USHAHIDI WA KADI YA RANGE ROVER ANAYOIMILIKI *PICHAZ*

HUDDAH The Boss lady wa Kenya aliyewahi kushiriki BBA amewanyamazisha wale walioponda kuwa gari amepewa tu atembele ni kwamba sio yake kwa kuweka wazi kadi ya gari yenye jina lake. ...

CHEKI BRAND NEW VIDEO YA JAGUAR - HUU MWAKA

...

JINSI MWANAMKE ALIVYOMUUZA MAMA YAKE MDOGO RUVUMA

Unaweza kujiuliza mara mbilimbili inakuaje mpaka mtu anapata ujasiri wa kumuuza mama yake mdogo? tena aliekamilika? 1. Mwanamke mwenyewe alieamua kumuuza mama yake mdogo, anaitwa Sophia Yasin Chambo (30) na ilikua February 17 2015 saa nane mchana maeneo ya Lizaboni, alikwenda nyumbani kwa Mfanyabiashara wa eneo hilo na kumwambia anahitaji kufanya nae biashara ili azidi kuwa tajiri. 2. Alimwambia anae mama yake mdogo na angehitaji kumuuza kwake...

PAUL MAKONDA AWAJIA JUU WANAOPONDA KWA KUTEULIWA KUWA MKUU WA WILAYA

MKUU wa Wilaya ya Kinondoni , Paul Makonda (pichani) amesema wanaobeza uwezo wake kiutendaji baada ya kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete kushika wadhifa huo, wasubiri waone atakavyokuwa. Aidha, ameweka wazi kile anachoamini anashutumiwa na kubezwa na watu kuhusu uteuzi huo na kusema wanaofanya hivyo, wanafahamu kwamba masuala yao kadhaa ndani ya wilaya hiyo yanayokwenda kinyume na taratibu, hayatafanikiwa. Akiendelea kujibu wanaoshutumu uteuzi...

MTU MWEUSI ALIYEBAGULIWA ATAKA HAKI

MTU aliyezuiliwa kuingia Paris Metro train na mashabiki wa timu ya mpira ya Chelsea kwa sababu ya ubaguzi wa rangi ametaka waadhibiwe. Mtu huyo mwenye miaka 33 anayeitwa Souleymane S aliambia gazeti la Le Parisien: “Hawa watu, hawa mashabiki wanapaswa kufungwa". Video ilionyesha mtu huyo akizuiliwa kuingia kwenye Metro na akisukumwa na mashabiki hao. Watu walisikika wakiimba: "Sisi ni wabaguzi wa rangi na hivyo ndivyo tupendavyo". Kanda...

ISIKILIZE NA UIPAKUE NYIMBO YA IYANYA FT. DIAMOND - NAKUPENDA (I LOVE YOU)

Mara ya kwanza ilikua ni zamu ya Iyanya kushirikishwa na Diamond Platnumz lakini time hii ni zamu ya Diamond kushirikishwa na Mnigeria huyu staa wa hit single ikiwemo ‘Mr. Oreo‘ Iyanya ameamua kuiita hii single jina la Kiswahili ‘Nakupenda’ (I Love you) ambayo unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini...! ...

CHUKUA HII MDADA: MADHARA YA KUCHORA TATTOO KIAFYA

TATTOO ni moja kati ya pambo kama mapambo mengine kama vile uvaaji hereni,cheni au kusuka.Wanawake huchora tattoo sehemu tofauti tofauti za mwili kutokana na mapenzi yake kwa mfano wengine hupenda kuchora shingoni,pajani,mkononi na kwabaadhi ya watu huthubutu kuchora hata katika sehemu zao za siri bila hata haya umeanika uchi wako kwa tattoo artist eti akuchore hapo sirini ,jamani watu wanahatari. Kwa mdada wa kitanzania kwa hali ya...

HALI YA HEWA ILIVYO HUKO AMBONI, TANGA *PICHAZ*

  ...

ZILIZOSOMWA ZAIDI