Bendera ya Tanzania na Namibia.
Ndege ya Rais ikiwasili.
Rais
wa Namibia, Hage Geingob akilakiwa na Rais Jakaya Kikwete mara baada ya
kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA),
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais Jakaya Kikwete akimkaribisha mgeni wake Rais wa Namibia, Hage Geingob.
Rais
wa Namibia, Hage Geingob akisalimiana na mke wa rais Jakaya Kikwete
mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku
mbili.
Rais
wa Namibia, Hage Geingob akipokea maua kutoa kwa mtoto, Elizaberth
Jackson mara baada ya kuwasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa
wa Julius Nyerere (JNIA),
jijini Dar es Salaam kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili.
Rais wa Namibia, Hage Geingob akipeana mkono na mtoto Elizaberth Jackson mara baada ya kupokea maua.
Rais wa Namibia, Hage Geingob akipigiwa mizinga 21.
Gwaride la heshima.
Rais
wa Namibia, Hage Geingob akikagua gwaride la heshima mara baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais
wa Namibia, Hage Geingob akikagua gwaride la heshima mara baada ya
kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Rais wa Namibia Mhe Hage Geingob na mwenyeji wake Rais
Jakaya Kikwete wakicheza muziki wa Brass Band walipokuwa wakiangalia vikundi vya burudani vilivyokuwa
vikitumbuiza leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),
jijini Dar es Salaam.
Picha na Francis Dande.
0 comments:
Post a Comment