Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria
kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko
viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba
10, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakifunua pazia kuashiria
kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa
kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi
Oktoba 10, 2015
0 comments:
Post a Comment