NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Saturday, January 31, 2015

NAZIZI AFANYA MAAJABU: AJIKONDESHA NA KUWA MREMBO WA HAJA UKIMUONA HUTOAMINI..MCHEKI HAPA!!!

MWANAMUZIKI Nazizi Kutoka Kenya Ameshangazi Wengi Baada ya Kufanikiwa kupunguza mwili wake kwa kiasi cha wengi kuto amini kama ni yeye, Mwanamuziki huyo kabla ya hapo alivyo sasa alikuwa ni Bonge nyanya yaani mnene kupindukia, lakini siku za karibuni mwanamuziki huyo ameingia Gym na Kufanikiwa kupunguza mwili wake kwa kiasi kikubwa sana, Artist and music sensation Nazizi has made all our jaws drop to the floor, as we get busy picking our jaws...

AGNESS MASOGANGE AKANA KUTOKA NA KING LAWRENC, SAA YA MKONONI YALETA UTATA *PICHA*

  BAADA ya Mrembo Agness Masogange Aishie Njia South Afrika kupost kwenye instagram Picha ya Mkono wa Mwanaume wenye saa nyeusi, watu na page mbali mbali walianza kumshambulia na kusema mkono huo ni wa King Lawrenc na wengine kuandika kuwa ni project mpya, Agness Masogane Amejitokeza na kuandika haya instagram: "Mkono huo ni wa Boyfriend wangu na sio wa huyo mnaemsema na wala simjui hata sijawahi kumuona..muwe mnachunguza vitu kwanza sio...

ISHUHUDIE SAFARI YA MWISHO YA BABA YAO P SQUARE ALIYEFARIKI 2014 NA KUZIKWA 2015 *PICHAZ*

Mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, Peter na Paul Okoye wa kundia la ‘P Square’ alifariki November 25 2014 baada ya kuanguka kwenye ngazi ndani ya nyumba. Taarifa za wanafamilia zilisema mzee huyo alifanyiwa upasuaji wa goti siku za nyuma na hali yake ilianza kuwa sawa kabla ya kufariki ambapo leo January 30, 2015 ndio mzee huyu amezikwa, ikiwa ni miaka miwili imepita toka kufariki...

ICHEKI BRAND NEW VIDEO YA DAVIDO FT. UHURU & DJ BUCKZ - ‘THE SOUND’

STAA wa Nigeria David Adedeji Adeleke aka Davido ana hit nyingi tunazozijua Skelewu, Aye na ile Tchelete aliyofanya na wakali wa Mafikizolo, zote ni kali! Davido, amekuletea video ya single mpya inayoitwa ‘The Sound’ akiwa amewashirikisha Dj Buckz pamoja na kundi la Uhuru kutoka Afrika Kusini. Hebu Bonyeza play kuenjoy#TheSound ...

BABA MZAZI AJITOA UHAI BAADA YA KUONA PICHA CHAFU ZA MWANAE…ZITAZAME HAPA!!!

Loredana Chivu ni mwanamitindo nchini Romania. Baba mmoja amejiua baada ya kuona picha za uchi zamwanawe wa kike katika jarida la Playboy nchini Romania. Loredana Chivu alirarua ukurasa uliokuwa na picha yake akiwa 'amepos' katika jarida hilo la Playboy na punde babake alipogundua kuhusu picha hizo, alizongwa na mawazo na hata kumkana mwanawe. Kwa mujibu wa mtandao wa Mirror, msichana huyo mwenye umbo la kuvutia alisema, '' babangu aliacha...

MEYA WA MORO, DEREVA NA MWANDISHI WAKIMBIZWA MUHIMBILI KWA MATIBABU

MSTAHIKI Meya wa halmashauri ya manispaa  ya Morogoro, Amir Nondo (45), Dereva  Mwambala Ally (55),  na Mwandishi wa habari ambaye ni mpiga picha wa Televisheni, Hussein Nuha (28) ,wamehamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili  kwa uchunguzi wa kina na kupatiwa matibabu zaidi. Hayo yamesemwa leo na Mganga mkuu wa mkoawa Morogoro , Godfrey Mtei , akielezea hali ya majeruhi hao ambao waliokuwa wamelezwa katika hospitali...

UWANJA WA WAPENDANAO: MFANYIE MAMBO HAYA MPENZI WAKO WA KIKE AKUZIDISHIE RAHA DUNIANI! (+18 YRS)

MAMBO vipi ndugu zangu? Ni furaha yangu kwa mara nyingine tena kukutana nanyi wapendwa wasomaji wa blog hii. Tumshukuru Muumba wetu kwa kutujaalia uhai na afya njema, lakini zaidi ya hapo tumshukuru pia kwa kutuumbia kitu mapenzi au siyo jamani? Siku zote hatutaacha kuzungumza juu ya mapenzi kwani ni ukweli usiopingika kwamba mapenzi ndiyo maisha yetu.  Tunafanya kazi usiku na mchana, tunahangaika huku na huko, lakini mwisho wa siku tunafikiria...

MMMH…JOJO KIDOTI + MILLARD AYO KUNAKO KEKI YAKAIBUKA MAMBO MAZITO! FUATILIA HAPA!

‘Mtu wa Nguvu’ Millard Ayo na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ wakifurahia jambo kwenye ‘bethidei’ yake. Stori: Hamida Hassan na Musa Mateja/Ijumaa  Keki iliyoandaliwa na Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kwa ajili ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ‘bethidei’ ya Millard Ayo ‘Mtu wa Nguvu’ imeibua mambo kwa mashabiki wao.  Ishu hiyo ilijiri Januari 26, mwaka huu ambapo Jokate alidaiwa kuangusha pati nyumbani kwa jamaa huyo maeneo ya Ubungo-Msewe...

CHEKI TOTO LA BECKHAM NDANI YA CLUB YA ARSENAL *PICHAZ*

PAMOJA na kua mtoto wa nyota wa zamani wa Manchester United, David Beckham kijana Brooklyn Beckham yuko njiani kuanza maisha kama mchezaji wa kikosi cha kwanza cha wapinzani wakubwa wa baba yake Arsenal ‘The Gunners’. Kijana huyu mwenye umri wa miaka 15 anafahamika kama shabiki wa Arsenal kwa muda mrefu na alisaini kuichezea timu hiyo mwaka jana akianzia kwenye kikosi cha wachezaji wenye umri chini...

YANGA YATUMIA NDEGE KUSAJILI WINGA WA AZAM

Wachezaji wa Yanga katika moja ya mazoezi. Picha|Maktaba  na Khatimu Naheka. YANGA na Azam zilikuwa zikiwania saini ya mchezaji wa Kimondo FC, Geofrey Mwasuya kwa ajili ya msimu ujao, lakini vijana hao wa Jangwani wamecheza akili sana na kuiacha Azam na utajiri wake kwenye mataa. Azam ndiyo iliyokuwa ya kwanza kufanya mazungumzo na mchezaji huyo, lakini Yanga ilipostukia ikamtumia tiketi ya Ndege kutoka Mbeya kuja Dar es Salaam. Mchezaji...

'WASHABIKI MSIPENDE KUDANDIA TRENI KWA MBELE MTAGONGWA' - SHILOLE AFUNGUKA

KUPITIA Kipindi cha TV cha Friday Night Jana usiku Kituo cha EAT Shilole Amefungukia mashabiki wake kuwa Wasipende kudandia Treni kwa mbele Mtagongwa, kawaambieni hivyo mashabiki wake kwakuwa mmeishupalia ishu ya kumpiga vibao 'mmewe' wakati hamjui kilichotoke...

TANZANIA KUANZISHA DUKA LA KUDUMU LA BIDHAA ZENYE ASILI YA KITANZANIA NCHINI OMAN *PICHAZ*

Balozi wa Tanzania Nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia akipata Maelezo kutoka kwa Maafisa wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC) Sabra Shehe na Mussa Abdullah  wakati Balozi huyo alipofanya ziara ya kuwatembelea Watanzania hao wanaoshiriki, Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni yanayoendelea katika Mji wa Mascut nchini humo. Wasanii wa Fani ya Uchoraji Tanzania Fred Halla na Salum Ameir...

HATIMAYE PROF. SOSPETER MUHONGO AKABIDHI OFISI KWA SIMBACHAWENE JIJINI DAR LEO *PICHAZ*

Waziri  mpya wa Nishati na Madini,George Simbachawene (kulia)akikabidhiwa rasmi nyaraka za ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Nishati naMadini, Profesa Sospeter Muhongo, leo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii. Waziri  mpya wa Nishati na Madini,George Simbachawene (kulia)akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati makabidhianoya ofisi na Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa SospeterMuhongo,...

Saturday, January 24, 2015

ICHEKI VIDEO MPYA YA BEBE COOL - ‘EVERYWHERE I GO’

BEBE Cool ni miongoni mwa wasanii wakubwa Uganda mwenye hit nyingi kwenye tv na radio. Hii video yake mpya Every were i go, wimbo unatoka kwenye album yake mpya ya Go Mama ya mwaka 2015. Video imetayarishwa na God Father Productions. Bonyeza play kuitazama, kisha tuachie comment yako hapo chini!...

'I HATE MY WIFE' FILAMU ILIYOMKOROGA SHAMSA FORD

MARA nyingi humtokea mtu yoyote ambaye anafanya kazi fulani hata kama kaizoea kiasi gani lakini kuna kipindi inafika anakutana na ugumu wa kazi hiyo anayoifanya. Shamsa Ford kutoka kiwanda cha filamu Tanzania amekubali kutuambia kwake filamu ipi ilimpa ugumu wakati anaigiza>>’Filamu ya I hate my wife kwangu ilikua ngumu kidogo kwenye kucheza ambayo nilicheza na Rado na Jb’ Kwenye sentensi nyingine amesema>’Ugumu ulikuwepo pale nilipotakiwa...

ICHEKI VIDEO MPYA KUTOKA YAMOTO BAND #NITAKUPWELEPWETA

STYLE ya muziki wanaoufanya imewafanya kupanda mashabiki wa umri tofauti,Yamoto Band wametuletea video yao mpya hii inaitwa Nitakupwelepweta,imeongozwa na Adam Juma. Bonyeza play kuitazama mwanaULIMWENGU WA HABARI...

ZILIZOSOMWA ZAIDI