NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Thursday, December 29, 2016

YAFAHAMU MADHARA YA PUNYETO IKIWEMO UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME

KUPIGA punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa ya vijana wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu. JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME. Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame. Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama...

MCHUMBA WA AY NI 'MSUPUUUUU' UNAAMBIWA…AISEE NDOA INANUKIA!!! *PICHAZ*

MWANAMUZIKI AY kwa Mara ya kwanza amemtambulisha rasmi Mpenzi wake aitwaye Remy…. Habari hii wiki hii imekuwa gumzo mitandaoni kwa wengi walikuwa wakijiuliza Ay mpenzi wake ni nani hasa baada ya Swahiba wake wa Karibu Mwana FA Kuoa…! Picha zaidi za Remy ...

RAY C AJA KIHINDI ZAIDI *PICHAZ*

HUENDA huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva Rehema Chalamika aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na pale katika maisha yake ya muziki. Muimbaji huyo ambaye amedaiwa kuweza kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya baada ya kushindwa kwa muda mrefu,wiki chache zilizopita aliweka kambi ndani ya studio ya Wanene kwa ajili ya maandalizi ya ujio wake mpy...

HUDDAH MONROE AELEZA SABABU YA KUITOSA WASAFI BEACH PARTY YA DIAMOND PLATNUMZ

WASAFI Beach Party iliyofanyika Disemba 24, Jangwani Sea Breezy jijini Dar es Salaam, ilikuwa iwakutanishe mahasimu warembo Huddah Monroe na Vera Sidika jukwaani kama mahost. Wengi tulikuwa tukisubiri kushuhudia drama ya kufungia mwaka kutoka kwa warembo hao wa Kenya, lakini bahati mbaya fahari mmoja hakutokea. Huddah Monroe ametumia Snapchat kuelezea sababu iliyomfanya ashindwe kuja kwenye party hiyo kuwa ni kushindwa kufikia makubaliano...

AUNTY EZEKIEL - 'SIWEZI TENA 'KU-KISS' KWENYE MUVI'

STAA wa Bongo Movie nchini mwanadada Aunty Ezekiel, amerudi upya kwenye tasnia hiyo huku akiweka wazi baadhi ya mabadiliko aliyoyafanya katika maisha yake kuwa ni pamoja na kutoweza tena 'ku-kiss' kwenye movie atakazocheza. Aunty ambaye kwa sasa amerejea na movie mpya inayokwenda kwa jina la Chritmass Eve, amesema kilichomfanya afikie maamuzi hayo ni majukumu aliyonayo kwa sasa ya kifamilia ikiwa ni pamoja na malezi ya mtoto. Akiwa kwenye...

KUTANA NA MWANAMUZIKI WA BONGO ANAYETAMANI KUMUOA RAPPER WA KIKE CHEMICAL

RAPPER Stereo amedai kuwa anatamani rapper Chemical aje kuwa mke wake wa ndoa. Stereo amesema Chemical ambaye jina lake halisi ni Claudia Lubao ni msichana anayemzimia kupita maelezo. Ameamua kufungua moyo wake kwenye mahojiano na mtangazaji wa CG FM ya Tabora, Manoni MJ wa Pili. “Nadhani tukioana tutakuwa na familia hivi ya aina yake,” alisema Stereo na kuongeza kuwa bado hajamweleza Chemical takwa la moyo wake. “Mimi nampenda Chemical...

TATHIMINI YA 'MDAU' KATIKA SHOW YA DIAMOND PLATNUMZ DAR NA IRINGA NA MTONYO ALIOINGIZA NDANI YA SIKU MBILI

KATIKA kuperuzi mitandaoni tukakutana na tathmini ya mdau kuhusu show aliyofanya Diamond Platnumz pale Jangwani - Dar na Samora Iringa. Ulimwengu wa Habari haujahusika na kuchanganua chochote zaidi ya kurusha hewani mchanganuo huo. Lakini nawe pia unaweza kutoa maoni yako hapo chini kuhusu Tathmini hii ya mdau! Najua wengi mlikuwa Mkisubiri hili kwa hamu kujua tadhimini nzima ya show mbili za Diamond na Team nzima ya Wasafi...

SIKILIZA NA UPAKUE BRAND NEW *AUDIO* YA ASLAY - RUDI

...

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA KEBBY BOY - SINA LAWAMA

...

MASHABIKI WADAI FEDHA ZAO BAADA YA ALI KIBA KUSHINDWA KUFANYA SHOW DODOMA

DISEMBA 25, ikiwa ni sikukuu ya Krismasi mashabiki wa mwanamuziki Ali Kiba walibaki wakiwa wamepigwa butwaa bila kuona mtu jukwaani huku muda ukiyoyoma katika tamasha la muziki ambalo Ali Kiba alitakiwa kutumbuiza siku hiyo. Hadi inafika saa saba usiku mwanamuziki hiyo hakuwepo ukumbini alipotakiwa kuanza kutumbuiza saa nne. Baadhi ya watu waliokuwa ndani ya ukumbi walianza kuleta vurugu na kudai fedha zao ili waondoke kwani muda ulikuwa...

AZAM FC IMEWAFUTA KAZI MAKOCHA WAKE KUTOKEA HISPANIA!

AZAM FC imeamua kuwatimua makocha wake wa kigeni wakiongozwa na kocha mkuu Zeben Hernandez kutoka Hispania. Uamuzi wa Azam umekuja baada ya mfululizo wa matokeo mabovu kwenye ligi kuu Tanzania bara msimu huu tangu ‘wahispaniola’ walipokabidhiwa mikoba ya kuinoa timu hiyo baada ya Stewart Hall kubwaga manyanga. “Uongozi wa Azam FC umewatimua makocha wao leo mchana baada ya pande zote mbili kukubaliana kuvunja mkataba kutokana na matokeo mabaya...

RAIS WA BOLIVIA ANASWA AKITAZAMA VIDEO YA NGONO MAHAKAMNI…..!

RAIS wa Bolivia, Evo Morales amekumbwa na fedheha kubwa baada ya simu yae kutoa sauti zinazoaminika ni za watu wanaofanya ngono wakati akiwa katika kikao ndani ya mahakama. Mkasa huo umetokea wakati Rais huyo akiwa katika mazungumzo na wanasheria wa kimataifa kabla ya kuchukua simu yake na muda mfupi sauti za mwanamke na miguno zinasikika kutoka kwenye simu hiyo ndipo ghafla akaitupa chini. Video hiyo iliyovujishwa na mtandao wa LiveLeak.com...

SIKILIZA NA UPAKUE BRAND NEW *AUDIO* YA ROSE MUHANDO - MAPENZI

...

PRODUCER MR T TOUCH ADAI HATAKI KUSIKIA HABARI ZA NAY WA MITEGO

MTAYARISHAJI wa muziki wa bongo fleva Mr T Touch ambaye kwa mwaka 2016 ametengeneza ngoma nyingi kali na zilizofanya vizuri katika vyombo mbalimbali vya habari amefunguka na kusema haitaji tena kumzungumzia Nay wa Mitego Mr T Touch ambaye alikuwa ni moja kati ya maproducer wa Nay wa Mitego ambaye ametengeneza ngoma nyingi za Nay wa Mitego zilizofanya vyema sana kipindi cha nyuma alisema anawashukuru sana watu ambao wamekuwa na mchango kwake...

DIAMOND PLATNUMZ AWAONGOZA WATZ KATIKA WATSUPTV AFRICAN AWARDS 2016…!!!

USIKU wa December 28 2016 tuzo za WatsUp TV Africa Music Video Awards 2016 ndio zilitangazwa Accra Ghana, washindi 22 walitangazwa kupitia Press Conference wakiwemo wasanii wa Tanzania waliyofanikiwa kushinda tuzo hizo kwa mwaka 2016. Kama hufahamu WatsUp TV Africa Music Video Awards (WAMVA) ni tuzo ambazo zinaandaliwa na WatsUP TV, zikiwa na lengo la kushawishi au kuhamasisha wasanii kufanya video za viwango vya juu pamoja na ubora. Wametangazwa...

MADEE AKERWA NA MATANI YA IDRISS SULTAN, AMTOLEA POVU

...

MPENZI MPYA WA SHILOLE: 'MIMI KUCHORA TATTOO YA SHILOLE NI MOYO WANGU TU UMETAKA KUFANYA HIVI'

MPENZI mpya wa Shilole ambaye ni mfanyabiashara wa nguo, Adam, amefunguka na kuzungumzia jinsi wanavyopendana na Shilole. Kijana huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio kuwa hamwangalii Shilole alipotoka bali anaangalia hapo alipo kwa sasa na anamuomba sana Mungu ili waweze kufika mbali zaidi. “Mimi sijafuata boost kwa Shilole bali nimefuata mapenzi na mimi naweza kusema kuwa hayo ya nyuma siyaangalii bali naangalia hapa...

PAKUA NA UISIKILIZE *BEAT* YA DARASSA - MUZIKI

...

WALIOFAULU USAILI WA KAZI SERIKALINI WATAKIWA KUOMBA AJIRA UPYA

WALIOFANYA usaili serikalini, wakafaulu lakini kabla ya kupangiwa vituo vya kazi ajira zikasitishwa; watakiwa kuomba ajira upya. Taarifa ya Sekretarieti ya Utumishi wa Umma imesema kuwa huo ni utaratibu wa kawaida wa sekretarieti hiyo. Aidha majina ya waliofaulu huhifadhiwa kwenye kanzi data (Database) kwa muda usiozidi miezi sita, na baada ya hapo majina hayo hufutwa. ...

ANGALIA BRAND NEW *AUDIO* YA AMBER LULU FT. COUNTRY BOY - WATAKOMA

...

Saturday, December 17, 2016

MRISHO NGASSA - 'MANENO NA MINONG’ONO MINGI KUHUSU UWEZO WANGU MUDA SI MREFU YATAISHA'

Mrisho Ngassa akisaini kuichezea Mbeya City fc. HATIMAYE mchezaji Mrisho Ngassa aliyekuwa anacheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Fanja Fc ya Oman, amemwaga wino kuitumikia klabu ya Mbeya City fc akiungana na nyota wengine 9 waliojumishwa kikosini kwenye usajili wa dirisha dogo lililofikia tamati desemba 15. Ngassa amesaini mkataba wa mwaka mmoja utaomuweka kwenye kikosi cha Kinnah Phiri mpaka Novemba 30, 2018,na kukabidhiwa jezi namba 10 iliyokuwa...

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA JOSLIN – ONLY YOU

Msanii Joslin baada ya kuwa kimya huu ndio ujio wake tena ameachia video mpya wimbo “Only You”, video imeongozwa na Rich Cash X....

PRINCE HARRY NA MPENZI WAKE MEGHAN MARKLE WAONEKANA PAMOJA KWA MARA YA KWANZA

MAISHA ya uhusiano ya Prince Harry wa Uingereza yamekuwa yakifuatiliwa kwa muda sasa huku akidaiwa kuwa na uhusiano na muigizaji Meghan Markle. Na usiku wa Alhamis hii, wawili hao walionekana hadharani na kupigwa picha kwa mara ya kwanza wakiwa pamoja jijini London. Wawili hao walionekana wakiwa karibu kwenye mtaa ulio na watu wengi zaidi jijini humo, Shaftesbury Avenue wakitembea kwa mguu kwenda kwenye jumba la sinema la Gielgud Theatre...

THE WEEKND AFANYA POA KWENYE CHATI ZA BILLBOARD

THE Weeknd ameendelea kufanya vizuri kwenye chati za Billboard. Muimbaji huyo amejiwekea rekodi yake ya kuwa msanii wa tano kukaa kwa muda mrefu kwenye chati za Billboard Hot 100 akiwa amekaa kwa kwa wiki 10 mpaka sasa huku albamu ake mpya ya ‘Star Boy’ ikishika nafasi ya pili kwenye chati za Billboard Top 200. Wasanii wengine waliowahi kukaa kwenye chati hizo kwa muda mrefu ni pamoja na Taylor Swift (31), Drake (23), Justin Bieber (11) na Adele...

SIKILIZA BRAND NEW *AUDIO* YA BUSHOKE & MAUA SAMA – TUPENDANE SASA

Msanii Bushoke akiwa pamoja na Maua Sama wameachia wimbo unaitwa “Tupendane Sasa”, ni wimbo mzuri wenye ujumbe wa mapenzi, Producer Ema The Boy. " class="iframe-class" frameborder="0" height="250" scrollbars="no" scrolling="no" src="http://www.audiomack.com/embed4-large/bongofive/tupendane-sasa" style="background-color: white; border-width: 0px; line-height: 20px; margin: 0px; max-width: 100%; padding: 0px; vertical-align: baseline;" width="...

PAUL MAKONDA AMWAGA WANASHERIA DAR KUSAIDIA WANANCHI BURE

MKOA wa Dar es Salaam utaanza kutoa huduma za kisheria kwa wananchi wote bure kupitia wanasheria 35 ambao wamegawanywa katika wilaya zote za mkoa huo, kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wake. Makonda amesema hatua hiyo itasaidia kutatua kero za wananchi ambao wamekuwa na uelewa mdogo wa sheria na kusababisha wananchi hao kukosa haki zao hususani katika masuala ya ardhi,mirathi, malalamiko ya rushwa na kufukuzwa...

MAHAKAMA YA UGANDA YAAMURU KUKAMATWA KWA WIZKID BAADA YA KUSHINDWA KUTOKEA KWENYE SHOW

WIZ KID anakabiliwa na kifungo cha miaka 11 jela, baada ya mahakama ya Uganda kutoa hati ya kukamatwa kwake na meneja wake, Sunday Aare. Wizkid alishindwa kutokea kwenye show iliyokuwa ifanyike December 3 mwaka huu mjini Kampala. Kampuni iliyomlipa, Face TV, kupitia mwanasheria wake, Fred Muwema, imepata kibali cha kumkamata muimbaji huyo kwa kuchukua dola $60,000 na kushindwa kutokea kwenye show. Gharama zingine walizotoa ni brokerage fee, $5,000...

RAIS MAGUFULI AMTEUA PROF YUNUS MGAYA KUWA MKURUGENZI MKUU NIMR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli amemteua Profesa Yunus Mgaya kuwa mkurugenzi mkuu NIMR. ...

MISS TZ DIANA EDWARD AWAFUNDISHA KISWAHILI MAMISS WENZIE…HIYO LAFUDHI SASA!!! *VIDEO*

Miss Tanzania 2016, Diana Edward anazidi kujikusanyia sifa nchini kwa uzalendo wake wa kuwafundisha mamiss wengine waliopo nchini Marekani kwaajili ya shindano la Miss World vitu mbalimbali kutoka nchini. Baada ya kuwatambulisha warembo hao muziki wa Bongo Fleva na Singeli, Diana ameonekana kuwa mwalimu mzuri wa Kiswahili kwenye shindano hilo. Kupitia Instagram, Diana amepost video mbili zikiwaonesha, Miss Hondurus, Kerelyne Campigoti Webster...

HAYA NDIO MASHARTI YA DURU LA PILI LIGI KUU YA TANZANIA BARA

DURU la Pili la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuanza leo Jumamosi Desemba 17 kwa michezo minne kabla ya michezo mingine minne kufanyika siku ya Jumapili Desemba 18, mwaka huu. Katika mechi za kesho, Mabingwa watetezi wa taji hilo, Young Africans SC ya Dar es Salaam itakuwa mgeni wa JKT Ruvu ya Pwani kwenye mchezo utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Licha ya kwamba mwenyeji wa mchezo huo ni JKT Ruvu ambayo uwanja...

MANENO ALIYO SEMA AUBAMEYANG KUHUSU KUJIUNGA NA REAL MADRID

MCHEZAJI wa klabu ya Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang ameweka wazi kuwa kwa wakati huu hana mpango wowote wa kujiunga na klabu ya soka ya Real Madrid. Aubameyang ambaye ni raia wa Gabon, amesema kwamba ataendelea kusalia klabuni kwake Dortmund mpaka mwisho wa mkataba aliousaini alisema alipo ongea na waandishi wa habar...

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA LEICESTER KUHUSU SCHMEICHEL

GOLIKIPA wa klabu ya Leicester Kasper Schmeichel hatimaye amerejelea mazoezi katika timu yake baada ya kuumia mkono mwezi Novemba. Huenda akaweza kucheza mechi ya Jumamosi ya ugenini dhidi ya Stoke City. Schmeichel, 30, aliumia mkono katika mechi ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya FC Copenhagen tarehe 2 Novemba ambayo ilimalizika kwa sare ya bila kufungana. Leicester wameshinda mechi mbili pekee kati ya nane walizocheza ligini na...

ZILIZOSOMWA ZAIDI