NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Sunday, March 6, 2016

RAIS MAGUFULI AMTEUA BALOZI JOHN WILLIAM KIJAZI KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Kabla ya Uteuzi huo, Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India. Kufuatia uteuzi huo, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine. Gerson Msigwa Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU Dar es salaam 06 Machi, 201...

CHID BENZ: SIPENDI KUUSIKIA WIMBO ‘DAR ES SALAAM STAND UP’

Msanii Chid Benz amesema huwa hapendi kuisikiliza nyimbo yake ya Dar es salaam Stand Up na kwamba hata anapo ‘perform’ jukwaani hujisikia vibaya. Chid Benz ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema ukubwa wa wimbo huo unamuumiza hisia zake, hivyo hujisikia vibaya kila anapousikiliza. “Hii nyimbo sipendi kuisikiliza kwa sababu inaniumiza ni ngoma kubwa flan kubwa sana, hata...

MBUNGE WA JIMBO LA MOSHI MJINI ATEMBELEA MASOKO

Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akisalimiana na wafanyabiashara wa soko la Pasua alipofanya ziara ya kutembelea masoko yaliyopo katika mji wa Moshi kusikiliza kero za wafanyabiashara hao. Mbunge wa jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiongozana na Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi ,Raymond Mboya wakitembelea soko la Mbuyuni kusikiliza kero mbalimbali pamoja na kuona namna bra ya kuboresha masoko hayo. Mbunge wa jimbo la...

CHADEMA WATOA TAMKO KUHUSU KUAHIRISHWA UCHAGUZI WA MEYA DAR...'HATUTASUSIA UCHAGUZI MPAKA KIELEWEKE'

Uchaguzi wa Meya Dar es salaam unazidi kuchukua headline kila siku. Ikiwa jana tu Baadhi ya Wabunge na Madiwani wa Ukawa walitinga ofisi ya Halmashauri  ya jiji kutaka kujua tarehe ipi uchaguzi utafanyika lakini hawakupata majibu hayo. Leo March 5 2016Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA‘ Taifa, Freeman Mbowembele ya Waandishi wa habari ameyazungumza haya…. ’Hatutaomba tena kumpata...

NDOA YA RAYUU CHALI BAADA YA WIKI MOJA TU..KISA SKENDO CHAFU ZA MAGAZETI

Baada ya kutamba kuwa tayari amepata mume wa maisha, mambo yameharibika msanii wa filamu Rayuu, kwani sasa hatoki nje wale hapokei simu za shoga zake. Wiki moja iliyopita msanii huyo aliiteka mitandao ya kijamii hasa instagram, kwa picha zake za harusi huku akiwa na bwana ake ambaye sasa si bwana tena. Chanzo kikubwa cha kuvunjika kwa ndoa hiyo inadaiwa kuwa mwanaume ambaye alimuoa ni mume wa mtu, ambaye tayari mke wake ana ujauzito wa miezi...

BAADA YA NDOA MKE WA DR SLAA AFUNGUKA....'HAIKUWA RAHISI KUFUNGA NDOA NA DK SLAA TUMEPITIA MENGI'

Baada ya kuenea taarifa za Dk Willibrod Slaa kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Josephine Mushumbusi, mwanamke huyo ameibuka na kuthibitisha huku akisema haikuwa kazi rahisi kufanikisha jambo hilo. Dk Slaa na Mushumbusi walifunga pingu za maisha Februari 26 katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Merciful Redeemer, Canada na mwanamke huyo amelieleza gazeti hili kuwa, mchakato wa kufungwa kwa ndoa hiyo uliwachukua muda mrefu na kupitia...

MREMBO TUNDA AFUNGUKA KWA MARA YA KWANZA BAADA YA TETESI KUWA WAMEACHANA NA YOUND D

Mrembo ambaye amewahi kung’arisha vichupa kadhaa vya mastaa Bongo maarufu kama Tunda amekuwa akitajwa kutoka kimapenzi na rapa kijana maarufu kama Young D au Paka Rapper. Hivi karibuni kuna uvumi ulizuka kuwa wawili hao wameacha baada ya mrembo huyo kufuta baadhi ya picha alizowahi kupiga na Young Dee huku kati ya zaidi ya picha 480 zilizopo kwenye ukurasa wake wa Instagram amebakiza picha moja tu ya rapa huyo. Vilevile katika ukurasa wa...

BABA LEVO: WANAOSEMA SHILOLE KACHUJA NI KINA NANI?

Baba Levo ambaye hivi sasa ni mheshimiwa Diwani Kata ya Mwanga Kigoma kwa tiketi ya ACT Wazalendo amefunguka na kusema kuwa wanaosema Shilole amechuja ni kina nani hao? Baba Levo alijiuliza hilo na kuzua utata kwani baadhi ya watu walianza kuhisi kwamba watu hao ni wapenzi kutokana na ukaribu wao pindi Baba Levo anapokuwa Dar es Salaam. Kufuatia kuzua utata kipindi cha eNEWS cha EATV kilimtafuta Baba Levo ili kutatua utata juu ya suala hilo...

LULU MICHAEL NA SINGLE MTAMBALIKE WA BONGO MOVIE WATISHA NIGERIA!

Usiku wa March 5 2016 nyota ya Tanzania iliweza kushine vilivyo kunako tasnia ya uigizaji baada ya waigizaji wa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Single Mtambalike ‘Rich Richie’ kunyakua Tuzo za (MVCA) zilizofanyika jijini Lagos nchini Nigeria. Tuzo hizo pia ziliweza kuhudhuriwa na mastaa wengi tu wa kibongo. Usiku wa March 5 2016 nyota ya Tanzania iliweza kushine vilivyo kunako tasnia ya uigizaji baada ya waigizaji wa Bongo, Elizabeth Michael...

Saturday, March 5, 2016

CHANZO RASMI CHA KIFO CHA MTOTO WA WHITNEY HOUSTON BOBBI KRISTINA CHAFAHAMIKA…!

Chanzo rasmi cha kifo cha Bobbi Kristina Brown kinakaribiana na kile cha mama yake, Whitney Houston – kuzama kwenye maji baada ya kutumia madawa ya kulevya Bobbi Kristina alikufa kutokana na kuzama kichwa chake kwenye maji baada ya kuwa ametumia mchanganyiko wa madawa.Umebaini vitu alivyokuwa ametumia ni bangi, pombe, madawa yenye uhusiano na cocaine, benzoylecgonine, benzodiazepines na morphine. Ripoti imedai kuwa alifariki kutokana na kupata...

LADY JAYDEE KUFUNGA NDOA TENA BAADA YA KUPEWA TALAKA NA GADNER

Siku chache baada ya kupewa talaka na aliyekuwa mumewe, mtangazaji Gardner G. Habash ‘Captain’, mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva anayekuja na ujio mpya alioubatiza jina la Naamka Tena, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide amedaiwa kupata mwanaume mwingine ambaye yupo kwenye mikakati kabambe ya kumuoa, Risasi Jumamosi lina ubuyu kamili. Jide ambaye amekuwa kimya kimuziki kwa zaidi ya miaka miwili, Februari mwaka huu alipewa talaka katika Mahakama...

JIBU LA VANESSA MDEE KWA SHABIKI ALIYEMDISS JUMA JUX.....ILIKUAJE?

Kupitia akaunti yake ya instagram Vanessa amepost picha ya promo ya Jux na cyril ya kwa ajili ya show ya Morogoro na Dodoma na kuandika maneno haya..  “Moro na Dodoma sio kwa kunichukulia mtu wangu weekend nzimaaaa dahhhhh!!! Freshi lakini nendeni mkashow love basi. @cyrill_kamikaze @juma_jux @bdozen” Katika hali isiyo ya kawaida shabiki mmoja alijitokeza na kuandika comment inayoonekana kumdiss mpenzi wa msanii huyo,Jux iliyosomeka...

KILA MTU ANA WAJIBU WA KUBRAND MALI ASILI ZETU ZISIPOTEE

HARAKATI katika mitandao ya kijamii zimekuwa zikionekana sana tangu wiki iliyopita baada ya msanii Witnesz a.k.a Kibonge Mwepesi kuanzisha kampeni ya utunzaji wa Mali asili zetu nchini zisipotee. Akiongea na XXL ya Clouds Fm, Witness amesema, ''Kubrand maliasili zetu ni jukumu la kila mtanzania na siyo kwa serikali peke yake, nchi nyingine wananchi wake wanajitahidi kutangaza mali asili zao mpaka wanapitiliza mipaka kwa kuiongopea dunia kwa...

HARMONIZE: NILIMUULIZA DIAMOND NI MWANAMKE GANI AMEACHANA NAE LAKINI ANASHINDWA KUMSAHAU

Msanii wa muziki kutoka ‘label’ ya WCB, Harmonize amesema wazo la wimbo wake mpya ‘Bado’ aliyomshirikisha Diamond, lilikuja baada ya kumuuliza Diamond ni mwanamke gani ambaye ameachana nae lakini bado anashindwa kumsahau. Akizungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds TV Ijumaa hii, Harmonize amesema baada ya kupata wazo kutoka kwa Diamond ndipo akaanza kuandika wimbo. “Idea ilikuja kuna siku tulikuwa kwenye gari nikamuuliza (Diamond)...

MR NICE AFUNGUKA KUHUSU PICHA YAKE AKIWA AMEKONDA ILIYOSHTUA WATU...ADAI ALILISHWA SUMU

SIKU chache baada ya kusambaa kwa picha yake inayomuonesha akiwa amepungua mwili na kuzua mjadala mitandaoni huku wengi wakimuonea huruma, mkongwe wa Muziki wa Takeu, Lucas Mkenda ‘Mr. Nice’ ameibuka na kufungukia afya yake. Picha inayomuonesha Nice akiwa amepungua mwili ilizagaa mapema wiki hii kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi waliochangia mjadala wa picha hiyo, walisema staa huyo aliyetikisa kwa utajiri enzi hizo, kwa sasa atakuwa...

FAHAMU AINA 7 YA VYAKULA VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME

Mwanaume 1 kati ya 3 wana matatizo ya nguvu za kiume – hii ni kulingana na utafiti uliofanyika. Upungufu wa nguvu za kiume unasababishwa na mambo mengi ikiwemo ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini. Ni jambo linaloweza kupata ufumbuzi kwa urahisi kama utazingatia kula vizuri na kufanya mazoezi. Ili kuongeza stamina kwenye mapenzi si lazima kutumia madawa makali kama viagra au vilevi vikali. Madawa na pombe hukupa nguvu zinazoisha kwa muda mfupi,...

SABABU HII HUMPA KIGUGUMIZI ROMA KUMPOST MKE WAKE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII..!

Msanii wa Hip Hop Tanzania,Roma amefunguka kuwa huwa hapendi kumpost mpenzi wake kwenye mitandao ya kijamii kwa kuhofia kuwa inaweza kumharibia biashara yake muziki. Roma anaamini kuwa kuna mashabiki wengi na kila mtu anapenda kitu fulani kutoka kwa msanii sio nyimbo tu,wengine hata kukupenda kimapenzi kwa hiyo kumpost mpenzi wako kila mara inaweza kuwafukuza mashabiki wa namna hiyo. “Sometimes kumpost sana unaharibu biashara yako hasa hii...

KOCHA MKUU WA MBEYA CITY KINNAH PHIRI ATAJA WACHEZAJI 18 WATAKAO CHUANA NA SIMBA FC

Kocha Mkuu wa Mbeya City Fc, Kinnah Phiri ametangaza majina ya nyota 18 watakaoivaa Simba Sports Club kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara uliopangwa kuchezwa jumapili hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Phiri ameuambia mtandao huu kuwa anatua jijini Dar na kikosi cha nyota hao ambao aliwaandaa maalumu kwa mchezo huo wa mwishoni mwa juma akiwa na imani kubwa kuwa wataiwezesha City kuibuka na ushindi kutokana na ‘kuiva’...

HANGING WITH THE BRO! DIAMOND PLATNUMZ & KANYE WEST TAKE A SELFIE IN L.A

Hanging With The Bro! Diamond Platnumz & Kanye West Take A Selfie In L.A. Tanzanian music sensation Chibu Dangote also known has Diamond Platnumz just landed in Los Angeles and guess who he bumped into…Kanye West! Though Platnumz is actually headed to Las Vegas, he had to take a connecting flight at L.A which is where he met Kanye and they posed for a snap. He captioned the photo: “LA am in Town Baby!!!….. With my bro #WEST” Diamond...

Friday, March 4, 2016

ISIKILIZE NA UIPAKUE HIT SONG MPYA YA OCHU SHEGGY - SHEMEJI YAKO *AUDIO*

Ochu Sheggy ni msanii anayefanya vizuri katika Tasnia ya burudani kwa Hit songs kibao kama vile Ntendezeze, Kingereza, Umechakachuwa, Dumange na sasa Shemeji yako ambayo imekuwa ni msumali unaofanya vizuri masikioni mwa wengi. Hebu enjoy kwa kuipakua audio hapo chini..! DOWNLOAD M...

BEYONCE KAVUA PETE YA NDOA ALIYOVALISHWA NA JAY Z...IS IT OVER?

Beyonce na Jay-Z wanazidi kuandamwa na taarifa za kuachana na kupeana talaka. Taaarifa hizi zimepewa nguvu na kitendo cha Beyonce kwenye sherehe ya siku ya kuzaliwa ya rafiki yake Kelly Rowland aliyefikisha miaka 35. Mtu aliyekuwepo kwenye pati hio anasema “Beyonce alivua pete yake na kuiweka juu na kusema hii ni mara ya mwisho ataonekana amevaa pete hio,marafiki walibidi wamtulize” Jay Z ’46’ na Beyonce wamekuwa wakizungukwa na taarifa hizi...

DAYNA NYANGE ANAJICHUBUA???

Picha hapo Juu ni Kabla na Baada ya Dayna Msanii wa Bongo Flava Kujichubua na Kuwa Mweupe Kama Mzungu, hii inamfanya aingie katika list kubwa ya Mastaa wa Bongo waliojikoboa Ngozi na Kubadilika kabisa muonekano, Swali Langu : Sikuhizi ukiwa Staa ni Lazima Ujichubue ? Kuna Siri Ngani Huko ? na Je Hawaelewi Madhara ya Kujichubua...

MWANAMKE ALIYEFANYA MAPENZI NA SAMAKI AINA YA DOLPHIN AONGEA KWA MARA YA KWANZA…!!

  Unaweza kushangaa na kuona ni kitu cha ajabu lakini hii imetokea ambapo mwanamke ambaye alifanya mapenzi na samaki aina ya Dolphin ikiwa ni sehemu ya utafiti wa kisayansi amezungumza kwa mara ya kwanza juu ya hatua hiyo. Mwanamke huyo Margaret Howe Lovatt ambaye ni mtafiti wa wanyama amesema alikuwa sehemu ya utafiti huo uliofanyika katika kisiwa cha Virgin nchini Marekani kwa ajili ya kuwafundisha viumbe wa baharini wenye akili jinsi...

ZILIZOSOMWA ZAIDI