
Mrimbwende wa
japan ameleta kizaazaa baada ya watu kuanza kuhoji Ujapan wake eti
kwa kuwa kazaliwa na mama Mjapan na baba mwafrika.Baba mwenyewe ni
mwafrika kutoka Marekani.Mrimbwende huyu
ambaye pia amesomea nchini Marekani anazungumza Kijapan kama lugha yake ya
kwanza na mama yake ni Mjapan
kikwelikweli.
Pamoja na ukweli
kwamba alizaliwa na kulelewa Japan mrimbwende huyu Ariana Miyamoto anaonekana katika macho ya wajapan...