NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Wednesday, October 31, 2012

TFDA YATOA UFAFANUZI JUU YA DAWA BANDIA ZA ARVs

Mkurugenzi Mkuu wa TFDA Mr. Hiiti Sillo akiwaonesha waandishi wa habari fomu ya kukusanyia madhara ya dawa. 1.0        UTANGULIZI a).    Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni Wakala wa Serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii yenye jukumu la kudhibiti usalama, ubora na ufanisi wa chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba ili kulinda afya ya jamii. TFDA imeweka mifumo mbalimbali...

TUNAENDA SHULE JAMANI!

Kamera yetu Mtaani ilifanikiwa kupata picha ya Wanafunzi wa shule ya msingi Mkwalia Kitumbo wilaya ya Mkuranga Mkoani pwani wakilazimika kuvua viatu pindi wanapotaka kuvuka dimbwi la maji, wakiwa wanaelekea shuleni kwao. (Picha na Ochieng Gad Ogwe...

SOMA MAGAZETI YA LEO HAPA!!!

...

Monday, October 29, 2012

HONGERA DKT. AYOUB RIOBA

Dkt. Ayoub Rioba akihutubia muda mfupi baada ya kutunukiwa shahada ya udaktari wa falsafa (PHD) katika fani ya falsafa ya jamii chuo kikuu cha Tampere katika jiji la Tampere, Finland. Hapa Dkt. Ayub Rioba (University of Dar es salaam - School of Journalism and Mass Communication) Kushoto, Prof Kaarle Nordenstreng (University of Tampere, Finland) Katikati, Prof. Audrey Gadzekpo (Accra University, Ghana) mwishoni kulia. Dkt. Rioba alikuwa akijibu...

USAFIRI WA RELI WAANZA DAR

Wananchi wafurahia  Dkt. Mwakyembe awa abiria wa kwanza Normal 0 false false false EN-US JA X-NONE ...

POLISI DAR WAKAMATA NYARA ZA SERIKALI

Normal 0 false false false EN-US JA X-NONE ...

Sunday, October 28, 2012

SJMC NIGHT ILIVYOKOSHA NYOYO ZA WENGI.

vvvvKufahamu mazingira yanayokuzunguka huwa ni jambo jema sana kwa binadamu kwani humpa mwanadamu kujiamini kwa kile anachokifanya katika mazingira aliyopo. Kufahamiana na watu aliowakuta katika mazingira hayo mageni pia huleta faraja na amani kwani hupata kujua historia mbalimbali za eneo hilo; watu, viumbe au hata vitu ambavyo vimeshawahi kuishi katika eneo hilo, na vinavyoendelea kuishi. Vilevile moja kati ya vitu muhimu duniani ambavyo binadamu...

ZILIZOSOMWA ZAIDI