Wednesday, October 31, 2012
TUNAENDA SHULE JAMANI!
5:20 AM
No comments
Kamera yetu Mtaani ilifanikiwa kupata picha ya Wanafunzi wa shule ya msingi Mkwalia Kitumbo wilaya ya Mkuranga Mkoani pwani wakilazimika kuvua viatu pindi wanapotaka kuvuka dimbwi la maji, wakiwa wanaelekea shuleni kwao. (Picha na Ochieng Gad Ogweno)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Picha zote hizi zilipigwa kati ya mwaka 2006 na 2007 na zinamwonyesha mwanadada Wema Sepetu, miaka hiyooooo, NI SHIDAAAAH. Tazama picha...
-
BIDHAA za kampuni ya Apple zina mashabiki na wateja wengi duniani, hii inathibitishwa na foleni kubwa ya watu waliojitokeza kwenye vituo...
-
Bendera ya Tanzania na Namibia. Ndege ya Rais ikiwasili. Rais wa Namibia, Hag...
-
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni , Paul Makonda (pichani) amesema wanaobeza uwezo wake kiutendaji baada ya kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwet...
-
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Eng. Evarist Welle Ndikilo wakiele...







0 comments:
Post a Comment