Wednesday, November 26, 2014

MMMH::"MGONGO WAZI, NIMEKUBALI" - HABARI NDIO HIYO

Wanawake jamani… Mmmmh! Kiukweli kuna mavazi na mavazi, unaambiwa sharti mgongo ukiwa wazi basi usiwe na mafundofundo wala magaga eeeh!
Haya sasa pozi la mdafada huyu wa leo umelionaje??
Kama maksi unampa ngapi na kigauni chake cha mitego???

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI