Monday, June 30, 2014

PICHA YA DIAMOND AKIPIGA STORY NA NELLY KWENYE RED CARPET YA BET

n1
TUZO za BET awards 2014 zimefanyika na mambo mbalimbali yalitokea, zaidi ya interview kwenye redcarpet Diamond amekutana na wasanii tofauti. Hivi sasa ameshare picha zake akiwa na msanii Nelly wakionekana kwenye mazungumzo na salamu. 
Hayo yote yametokea kwenye redcarpet ya BET usiku wa kuamkia leo 30/6.

Hii ni caption ya picha aliyokuwa na Nelly.
n2
n3
n4

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI