Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jana, Jumamosi, Mei 23, 2015 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Seif Shariff Hamad ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Ikulu Ndogo, Dodoma.Picha Juu Rais Kikwete akimwaga Mheshimiwa Hamad baada ya kumalizika kwa kikao hicho.Picha na Freddy Maro-IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
Dokta RK Gupta. Daktari anayehusishwa na tukio la vifo vya watu 13 katika kituo kilichokua kikitoa huduma ya kuzuia uzazi kwa njia ya u...
-
Klabu ya Arsenal ya Uingereza ambayo kwa siku za hivi karibuni imeripotiwa kutafuta mshambuliaji wa kati, lakini ikawa inahusishw...
-
Binti huyo akidhibitiwa na polisi. WATOTO! Wanafunzi wawili, wa kike ana miaka 14 (darasa la saba), wa kiume miaka 15 (kidato cha kw...
-
Hector Bellerin (kulia) alikuwa miongoni mwa wachezaji vijana wa Arsenal dhidi ya Southampton ARSENE Wenger ametetea maamuzi yake ya...
0 comments:
Post a Comment