Monday, June 30, 2014

BAADA YA TIMU YA TIFA YA MAREKANI KUFANIKIWA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO WA PILI

New York Empire State Building na rangi za bendera ya Marekani ni baada ya timu ya taifa kufanikiwa kuingia mzunguko wa pili kwenye mashindano ya fainali za kombe la dunia. Mashindano hayo yanayofanyika huko Brazil.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI