Tuesday, July 1, 2014

MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YAENDELEA VIWANJA VYA SABA SABA DAR, MWANAJESHI HUYU AWA KIVUTIO KIKUBWA!!!

Mwandishi wa Global, Gabriel Ng'osha akiwa na mmoja wa makomando wa Jeshi la Wananchi wa  Tanzania (JWTZ) katika maonesho hayo.
Kwa wapenda nguo za Kitanzania banda hili ‘ndilo lenyewe’.
Maonyesho ya magari.
Mifupa ya mnyama Dinoseur.
Wadau wa kilimo banda hili ni lao.
Mapambo ya majumbani yanaonyeshwa hapa.
‘Mdori’ wa CRDB Bank ukigawa vipeperushi viwanjani hapo.
Hapa ni kwa wapenda urembo.
Raia wa kigeni wamekuwa wakivutia  na maonyesho hayo.
Hii ndiyo taswira ya Mlima Kilimanjaro katika banda la Wizara ya Utalii.
Banda la mifugo la Chuo Kikuu cha Sokoine.
Hapa ni maonyesho ya vitu vya kale, yakiwamo  mafuvu ya binadamu na zana za Zama za Kale za Mawe.
Wananchi wakiuliza maswali kwa komandoo  wa JWTZ, 
CPL Timothy  Marco.
Silaha halali kwa wawindaji halali wa wanyama ndizo hizi hapa.
Mnyama jamii ya chui Cheetah (sio hai) akiwa katika maonyesho.
Huu ni mfano wa nyumba ya msonge.
Wananchi wakipozi kwa picha na komando wa JWTZ.
Watoto wakimfuatilia ‘mdori’ wa maziwa aina ya Cowbell.
Na Gabriel Ng’osha
KAMERA yetu jana ilifika katika maonyesho ya kimataifa ya kila mwaka yaitwayo Saba Saba na kujionea huduma na maonyesho yanavyoendelea kuvutia wananchi wa kawaida na wafanyabiashara.
Kwa hisani ya GPL 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI