Saturday, December 27, 2014

MCHEKI CRISTIANO RONALDO AKIZINDUA SANAMU YAKE YA HESHIMA ALIYOJENGEWA HUKO MEDEIRA URENO *PICHAZ*

 Cristiano Ronaldo ameizindua sanamu yake ya heshima aliyojengewa huko Medeira Ureno wiki jana, hii imekuja siku moja baada ya mchezaji pekee duniani kuweza kushinda makombe yote kwa ngazi ya klabu katika vilabu viwili tofauti.



0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI