Saturday, December 27, 2014

HII NDIYO TATTOO NYINGINE MPYA KWENYE SURA YA LIL WAYNE *PICHAZ*

WAKATI pakiwa na mvutano kati yake na mmiliki wa Cash Money ‘Birdman’ rappa Lil Wayne anaendelea na maisha yake kama kawaida, wiki iliypita alikutana na mchora tattoo maarufu kama ‘Spider’ na kuongeza mbili zingine usoni.
Weezy kachora jicho chini ya kidevu na kuandika maneno “Mama’s Boy” kwa lugha ya Arabic kwenye jicho lake la kushoto.

Album ya Tha Carter V itachelewa zaidi na kwa sasa itatoka mixtape ya Sorry 4 the wait 2.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI