Kijana aliyegongwa na bodaboda na kuvunjika mguu wa kulia akiwa amelala chini katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara.![](http://api.ning.com/files/BY6VWIVrp22n-q9Vxe9lqmovYc6uG2E6cknbIFk-vcGuwqL8RIyw-WHmVU1ad9UQfpxv0SI57sWAq1iqsneqQRt*rNiHRKR8/IMG20140807WA0029.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/BY6VWIVrp22n-q9Vxe9lqmovYc6uG2E6cknbIFk-vcGuwqL8RIyw-WHmVU1ad9UQfpxv0SI57sWAq1iqsneqQRt*rNiHRKR8/IMG20140807WA0029.jpg?width=650)
Bodaboda iliyotelekezwa na dereva wake baada ya kumgonga kijana huyo ikiwa eneo la tukio.
AJALI hii imetokea leo majira ya saa 9:45 mchana katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara baada ya bodaboda kumgonga kijana mmoja ambaye hakujatambulika jina lake mara moja na dereva wa bodaboda kukimbia na kuacha chombo chake .
Picha na GPL
0 comments:
Post a Comment