AZMA ndio jina la msanii aliyefanya ngoma hii kali na yenye mistari ya aina yake, Ngoma inatambulika kwa jina la KUWA NA AZMA, ambapo amaeifanya na P MALLY/MOS REC na video kufanyika chini ya muongozaji mkali GODFRED na jamaa yupo chini ya Label ya UMABE/TAMADUNI MUZIK
Enjoy kwa kuitazama video hii hapa hapa katika ULIMWENGU WA HABARI….!
Enjoy kwa kuitazama video hii hapa hapa katika ULIMWENGU WA HABARI….!
0 comments:
Post a Comment