TUKIO hili ovu la watumishi hao lilitokea wiki chache zilizopita katika mji wa Geneva Uswizi, ambapo watumishi wa kidini maarufu kama masista walionekana kwenye vyumba vyao vya kulala wanasagana.
Kujulikana kwao huku kulitokea baada ya mfumo mpya wa siri ulioanzishwa wa kufunga kamera za kiusalama katika vyumba vya masista na ndipo walipowabaini wakifanya uchafu huo.
Kamera hizo zilifungwa kwa lengo la kuwaongezea ulinzi pia kuwaangalia watumishi hao nini wanachokifanya wawapo kwenye vyumba vyao.
Lakini kumbe baada ya kufunga kamera hizo zilisaidia pia kutambua na mengine maovu mabaya wayatendayo watumishi wao wakiwa peke yao katika muda wao wa wamapumziko wanapotoka kutumikia shughuli mbali mbali za kidini.
Hawa ndio masista watatu wakiwa wenye sura za aibu na kuhuzunisha, waliobainika kufanya aibu hiyo chafu ya kusagana wakiwa kwenye vyumba vyao vya mapumziko. Uongozi wa kanisa baada ya kuwabaini masista hao kwa kufanya tukio hilo chafu, waliwakamata na kuwatangaza mbele ya jumuiya yao ya kanisa kuwa wanawavua wadhifa wao huo waliopewa na hawatakuwa ni masista tena.
Tukio hili chafu la kudhalilisha dini ya kikristo lilipokelewa vibaya nchini humo pia ulimwenguni kote ikizingatiwa lilitokea wiki moja kabla ya sikukuu ya Christmas.
0 comments:
Post a Comment