NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Thursday, July 31, 2014

MARAIS WASTAAFU THABO MBEKI, FESTUS MOGAE NA BENJAMIN MKAPA WAKUTANA DAR ES SALAAM

MARAIS wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika Kusini na Festus Mogae wa Botswana wakiigia kwenye chumba cha Mkutano katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo wakati wa mkutano wa mwaka wa Africa Readership Forum ulioandaliwa na Taasisi ya Uongozi Institute jijini Dar es salaam ambao ulikuwa unajadili changamoto mbalimbali zinazozikabili nchi za Afrika na kuangalia masuala mbalimbali ikiwa ni pamoja na hatua za kushughulikia changamoto hizo. Rais...

MCHEKI WEMA AKIWA NA "SHEMEEEJI" OMMY DIMPOZ *PICHAZ*

...

'TUNATUMIA MAITI 25 KWA MWAKA KUFUNDISHIA' - MUHAS

WAKATI sakata la kuokotwa kwa viungo vya binadamu likiendelea kutikisa nchi, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), kimesema kuwa hutumia maiti 25 kwa kuwafundishia wanafunzi kila mwaka. Pia chuo hicho hakijawahi kuagiza maiti kutoka nje ya nchi na kwamba ni mtu mmoja tu aliyewahi kutaka maiti ya mtoto wake itumike kufundishia. Kauli hiyo ya MUHAS imekuja siku chache baada ya Serikali kuamua kuifungia Hospitali ya Chuo...

KWA MWENDO HUU VIGODORO BADO VINAENDELEA PAMOJA NA SERIKALI KUPIGA MARUFUKU

Huku wakiendelea…. Dada huyu ambaye jina lake halikufahamika mara moja akikata mauno huku akionesha nguo yake ya ndani mbele ya kadamnasi bila hata chembe ya haya…! Picha: The choi...

IYANYA AWASHUSHIA UJUMBE MZITO WIZKID NA DAVIDO JUU YA BEEF YAO!

TAARIFA za kuwepo beef kati ya wasanii wakubwa wa Nigeria Wizkid na Davido wakitambiana nani anafunika zaidi zinaendelea kukorezwa na tweets za vijembe kati yao kila kukicha. Ingawa wawili hao waliwahi kuonekana katika picha ya pamoja na kutoa ishara ya kumaliza tofauti zao, bado maandishi yao yanaonekana kuwa mwiba kwa kila mmoja. Mkali wa Kukere ameamua kutoa ushauri wake kwa wasanii wa Nigeria, ushauri ambao unaonekana kumwagusa moja...

WATU WANNE WAMEFARIKI PAPO HAPO BAADA YA KUDONDOKEWA NA KUFUNIKWA NA LORI LA MIZIGO

 Lori hilo la mizigo likiwa limedondoka Chini ya Mto njia panda ya Ilembula huku  watu wanne wakiwa wamefunikwa. WATU wanne wamefariki papo hapo Saa kumi usiku leo baada ya kudondokewa na Lori la mizigo , Lililopindukia katika mto njia panda ya kuelekea Ilembula, kutokana na kufunikwa na Lori hilo watu hao wameendelea kuwa chini ya Lori hilo na Kazi ya kuwatoa inaendelea.  Baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia tukio la ajali...

LADY JAYDEE AWEKA WAZI STYLE ATAKAYOITUMIA KURUDI NA TUZO YAKE TOKA MAREKANI, ICHEKI HAPA!

...

UMEONA STAILI MPYA YA UVAAJI WA MSANII CHRIS BROWN AMBAYO IMEKUWA GUMZO MTANDAONI

Staili mpya ya Chris Brown kwa mara ya kwanza kwenye jukwaa la BET 2014. Vazi hili lilobuniwa na mbunifu Seth Chernoff na pia staili hii ya kuvaa shati lenye langi nyekundu kiunoni ndio habari ya mjini kwa sasa baada ya mastaa kibao kuanza kuivaa. Na pia raba kali zilizobuniwa na msanii mwenzake Kanye West zinazojulikana kwa jina la “Nike Air Yeezy Red” Rihanna nae hayuko nyuma san kwenye Fashion alitupia p...

ZITTO AKOSA IMANI NA UKAWA: ASEMA HANA IMANI KAMA UMOJA HUO UTADUMU

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kwa mara ya kwanza ameibuka na kupingana na harakati za Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA).  Zitto amesema hana uhakika wala hauamini Ukawa kama utakuwa umoja endelevu hadi kufikia Uchaguzi Mkuu mwaka 2015, kwa sababu si mara ya kwanza vyama vya upinzani kuungana na kugawanyika.  Mbali ya kutokuwa na imani na umoja huo, pia ameitaka Serikali kusitisha mchakato wa Katiba Mpya hadi...

UPDATES..!! KUHUSU AJALI YA BASI LA MORO BEST ILIYOTOKEA MKOANI DODOMA!

WATU 11 kati ya 17 waliofariki dunia papohapo katika ajali eneo la Pandambili wilayani Kongwa, Dodoma wametambuliwa na wanne kati yao tayari wamechukuliwa na ndugu zao. Ajali iliyosababisha watu 56 kujeruhiwa vibaya. iliyahusisha magari mawili ambayo ni basi aina ya Scania mali ya Kampuni ya Morobest lililokuwa likitokea Mpwapwa kwenda Dar es Salaam, ambalo liligongana na uso kwa uso na lori lenye tela, lililokuwa limepakia shehena ya mabomba. Ajali...

HIVI NDIVYO CHRISS BROWN ANAVYOSHI NA MAJIRANI ZAKE KWA SASA!

Picha hii haihusiani na stori hapo chini: Chriss Brown akiwa katika mona ya action alizozifanya katika movie. MWIMBAJI wa Loyal, Chris Brown ambaye alitoka jela hivi karibuni na kuamua kutafuta amani kwa kuhama nyumba aliyokuwa akiishi kukwepa ugomvi na majirani zake ni kama ameruka majivu na kukanyaga moto. Kwa mujibu wa TMZ, mwimbaji huyo aliamua kuuza nyumba yake ya kifahari iliyokuwa Hollywood Hills kufuatia ugomvi wa kila siku...

ALICHOFANYIWA MICHELLE OBAMA NA MUMEWE OBAMA MMH!!, HATA UWE KAUZU VIPI, LAZIMA UCHEKE *PICHAZ*

Eti huyu ndio mke wa rais wa marekani, Michelle Mwenyewe Rais Obama. ...

WATU WANNE WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 51 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI MATUNDASI - CHUNYA

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 31.07.2014. WATU WANNE WAFARIKI DUNIA NA WENGINE 51 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI MATUNDASI WILAYANI CHUNYA. MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI JIJINI MBEYA. MTOTO WA MIAKA MITATU AFARIKI DUNIA BAADA YA KUANGUKIWA NA KIFUSI CHA MCHANGA WILAYANI CHUNYA. MTOTO WA MIAKA KUMI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUPIGWA NA SHOTI YA UMEME. KATIKA...

MAUAJI SIKUKUU: AUAWA KWA KUCHOMWA VISU

Binti anayefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) aliyechomwa kisu na mchumba wake, Omary Idd. SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuchomwa visu mwilini na mchumba wake aliyetajwa kwa jina la Omary Idd.  Tukio hilo lilitokea Julai 27, mwaka huu katika Kijiji cha Mnemela  wilayani Kibaha, Pwani kufuatia ugomvi wa mara kwa mara wa wawili...

MWADUI FC YAWAITA WALIOTEMWA SIMBA, YANGA KUFANYA MAJARIBIO LEADERS CLUB DAR

Kocha wa Mwadui fc, Jamhuri Kiwhelo 'Julio' Na Baraka Mpenja TIMU ya Mwadui fc ya Shinyanga inatarajia kuanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi daraja la kwanza unaotarajia kuanza mwezi Octoba mwaka huu. Kocha mkuu wa klabu hiyo, Jamhuri Musa Kiwhelu ‘Julio’ amesema mazoezi hayo yataanza katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam ambapo baadhi ya wachezaji wa Mwadui watahudhuria. “Tunaanza mazoezi kesho katika viwanja...

KINGWENDU ATOA KAULI HII BAADA YA MKEWE KUBAKWA YEYE AKIWA SAFARINI

MUIGIZAJI wa filamu za Kiswahili, mchekeshaji Kingwendu yuko katika wakati mgumu baada ya mkewe kubakwa na jirani yake wakati akiwa amelewa pombe. Muigizaji huyo amesema kuwa alizipata habari hizo wakati ambapo yuko safarini na majirani walimueleza kilichotokea kuwa mkewe na jirani huyo aliyembaka mida ya saa tano usiku wote walikuwa wamelewa. ”Kama ulivyosikia hiyo habari, mimi nilikuwa sipo ndo nimerudi jana, nataka nianze kufuatilia sheria...

SHILOLE ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE JIMBONI IGUNGA 2015

Shilole si mgeni katika kuota vitu vikubwa. Kutoka kwenye ndoto yake ya kufanya kolabo na Jennifer Lopez, awamu hii ameenda mbali zaidi.  MUIMBAJI huyo amechoka ‘Kuchuna Mabuzi’ na sasa anataka kuingia mjengoni. Mrembo huyo ambaye jina lake halisi ni Zuwena Mohamed, amepanga kugombea ubunge kwenye jimbo analotokea la Igunga mkoani Tabora katika uchaguzi wa mwaka 2015! Akizungumza kwenye kipindi na Sizi Kitaa cha Clouds TV, Shilole amesema...

MAPENZI: NI JINSI GANI UNAMWOMBA MPENZI WAKO MSAMAHA, JE NI KWA KUMPA ZAWADI?

MSAMAHA una nafasi kubwa sana katika mapenzi. Hamna mtu aliyemkamilifu ndiyo maana neno samahani lipo. Ila neno  hili linaweza kutumika sahihi au isiwe sahihi.  Hivyo ni vizuri ukawa makini katika matumizi ya neno hili,Kuna baadhi ya watu hawawezi kabisa kutamka hilo neno na badala yake hutumia maneno yafuatayo (mbadala) kama; yaishe,basi samahani,umeshinda, sorry(kama njia yakupunguza makali na wakati lugha iliyokua ikitumika ni kiswahili). Jinsi...

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUHUSU AJALI YA BASI LA MOROBEST KUGONGANA NA LORI ILIYOTOKEA DODOMA

JULY 30 imesambaa Taarifa ya ajali ambayo imetokea mapema leo na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma ajali iliyosababisha vifo vya watu 17 kati yao wanaume 12, wanawake 5 na majeruhi kwa mujibu wa jeshi la Polisi Dodoma. Ajali hiyo imetokea majira ya saa 08:00 asubuhi eneo la Pandambili barabara ya Dodoma –Morogoro ambayo imehusisha basi la kampuni ya Moro Best yenye namba T258 AHV ambalo lilikuwa likitokea Mpwapwa kuelekea Dar es Salaam. Basi...

KUTANA NA PICHA ZA MWANAMKE MWENYE KIUNO CHEMBAMBA DUNIANI

CATHIE Jung ana miaka 77 na ndiye mwanamke mwenye kiuno chembamba zaidi Duniani.  Ni miongoni mwa watu walio kwenye kitabu maarufu cha kumbukumbu za Guinness world Hakika hii inashangaza kimtindo. ...

ZILIZOSOMWA ZAIDI