NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Friday, May 30, 2014

SHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS LAANZA RASMI LEO JIJINI DAR ES SALAAM, WASHINDI WATANO KUTAFUTWA

Msimamizi wa Mashindano ya Tanzania Movie Talents, Bw Tony Akwesa akitoa maelekezo kwa washiriki waliojitokeza kwaajili ya shindano la Tanzania Movie Talents kwa kanda ya Pwani unaoendelea kufanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Jijini Dar Es Salaam Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mstari tayari kwa kuchukua fomu za ushiriki wa shindano la Tanzania Movie Talents lililoanza rasmi leo Kwa Kanda ya Pwani. Washiriki waliojitokeza...

NORWAY NA ZANZIBAR ZATILIANA SAINI UNENGWAJI WA WODI MPYA YA WATOTO

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Kikuu cha Helse Bergen kiliopo Haukelang Norway Dkt. Stener Kvinnsland wakitia saini makubaliano ya ujenzi wa Wodi mpya ya watoto eneo la Mnazi mmoja wakishuhudiwa na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik alieva miwani. (Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar). Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik akizungumza na viongozi wa Wizara...

KINANA AITIKISA BABATI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara wakati akihitimisha ziara yake katika wilaya ya Babati yenye lengo la kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali na kusikiliza kero za wananchi ili kuzipatia ufumbuzi, Mkutano huo umefanyika kwenye uwanja wa Kwaraa mjini Babati ukihudhuriwa na maelfu ya Wananchi. PICHA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-BABATI Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA CHI ZA NJE WA UTURUKI

Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Uturuki, Ahmet Dovutoglu, aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo, Mei 30, 2014. Katika mazungumzo yao walisisitiza juu ya ushirikiano katika Nyanja mbalimbali baina nchi hizi mbili . Waziri huyo yupo nchini kwa ziara ya Kiserikali iliyoandaliwa...

KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA NCHI WASHIRIKA WA MAENDELEO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akibadilishana mawazo na mabalozi na wawakilishi wa nchi washirika wa maendeleo kabla ya mkutano aliowaandalia leo Mei 30, 2014 katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro hotel jijini Dar es salaam kuzungumzia michango katika Kapu la Afya (Health Basket Fund) pamoja na mpango wa serikali wa kuiingiza sekta ya afya katika kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue...

KAMATI TENDAJI YA TAIFA YA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII TASAF, YAZURU KIBAHA, PWANI.

Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,Ladislaus Mwamanga (aliyesimama)akitoa ufafanuzi juuya utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini kwa walengwa wa Mpango huo(hawapo pichani). Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kibaha mkoani Pwani Tatu Seleman(mwenye miwani) akiangalia moja ya mikeka iliyosukwa na walengwa wa Mpango waKunusuru Kaya masikini,PSSN, katika kijiji cha Vikuge kama njia mojawapo ya kukuzakipato cha wananchi. Walengwa...

RAIS KIKWETE AKUKATANA NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA BAN KI MOON

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi alioongozana nao wakiendelea na maongezi katika mkutano na katibu mkuu wa umoja wa mataifa Bw. Ban Ki Moon uliofanyika katika hotel ya   and his delegation meet and hold talks with U.N. Secretary General Ban Ki Moon at Royal York hotel in Toronto Canada this afternoon during the three days Summit on Maternal,Newborn and Child Health with the theme”Saving every woman and every child” at the...

BUNGE LASISITIZA JENGO LA GHOROFA 16 DAR LIVUNJWE

HAYO yamo katika taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhusu bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Bunge limesisitiza kuwa jengo la ghorofa 16 lililoko katika Mtaa wa Indira Gandhi, Dar es Salaam ambalo liliagiza mwaka jana livunjwe, agizo hilo litekelezwe. Aidha, imeishauri Serikali kutaifisha maeneo yote makubwa yasiyoendelezwa na kuyagawa kwa wananchi kwa matumizi mengine. Mbunge wa...

TAARIFA YA MWENYEKITI MTENDAJI WA IPP LIMITED, DKT REGINALD MENGI, KWA UMMA

Hivi karibuni nimeshuhudia kusambazwa kwa taarifa mbalimbali kupitia ujumbe mfupi wa simu (sms) na mitandao ya jamii zikinihusisha na tuhuma mbalimbali. Napenda kuufahamisha umma kwamba taarifa zote zilizotolewa kupitia njia hizo ni za uongo, chuki, na uzushi. Kilichonisikitisha sana ni kuona kuwa uzushi huo unachochea kuifarakanisha jamii yetu kwa misingi ya ukabila jambo ambalo ni hatari kwa umoja na mshikamano ambao Tanzania tumejitahidi...

KESI YA ZITTO KABWE DHIDI YA BARAZA LA WADHAMINI LA CHADEMA,DKT. SLAA KUSIKILIZWA JULAI 31

  Na Mwene Said MAHAKAMA Kuu Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imepanga kusikiliza mapingamizi ya awali ya pande zote mbili katika kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Baraza la Wadhamini la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Katibu Mkuu, Willbrod Slaa, Julai 31, mwaka huu. Mheshimiwa, Jaji John Utamwa alisema kesi ilipangwa jana kwa ajili ya kutajwa na kwamba itasikilizwa mapongamizi ya awali...

ROSTAM AZIZI KATIKA MSIBA MKUBWA

ALIYEKUWA mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, (CCM), amefiwa na baba yake Aziz Abdulrasool (73) jijini Dar es Salaam jana asubuhi. Akizungumza nyumbani kwa marehemu Oysterbay jana, mtoto wa pili wa marehemu, Akram Aziz, alisema baba yake alifariki saa 12 asubuhi ikiwa ni saa mbili tu baada ya kurudishwa nchini kutoka Ufaransa alikuwa anatibiwa. “Baba amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa saratani,tumemrudisha nchini jana saa...

MELI YA JAPAN ILIYOLIPUKA BANDARINI.

Mlipuko mkubwa umetokea kwenye meli kubwa ya mafuta nchini Japan katika Pwani ya Kusini Magharibi mwa bandari ya Himeji na kusababisha mtu mmoja kati ya wanane waliokuwa ndani ya meli hiyo kupotea huku wengine wanne wakijeruhiwa vibaya. Moto mkubwa ulilipuka katikati ya bahari ambapo meli hiyo yenye uzito wa tani 998 iliyokuwa ikitokea mji wa Hiroshima kuachwa ikielea ndani ya maji baada ya ajali hiyo na baadae kufatwa na meli za kupambana...

SAFI SANA NKAMIA, KUNA HAJA GANI YA KUJIITA `SIMBA` WAKATI UWEZO WAKO NI KAMA `SUNGURA`

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam SERIKALI kupitia wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo inatarajia kuliagiza shirikisho la soka Tanzania kuachana na mpango wake wa kubadili jezi na jina la timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Naibu waziri wa wizara hiyo, Juma Suleiman Nkamia, mwanahabari kitaalum na mtangazaji wa zamani wa michezo TBC, amesema hakuna haja ya kubadili jina, kikubwa ni kuubadilisha mchezo wenyewe ili twende sambamba...

AL-MERREIKH KUKINUKISHA ROBO FAINALI CECAFA NILE BASIN CUP LEO, MBEYA CITY KESHO HAPATOSHI

Kocha bora wa ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2013/2014, Juma Mwambusi (kulia) Na Baraka Mpenja, Dar es salaam ROBO fainali ya michuano ya CECAFA Nile Basin Cup inayoendelea kushika kasi nchini Sudan inatarajia kuanza kuunguruma leo jioni mjini Khartoum kwa mechi mbili kupigwa katika uwanja wa Merreikh. AFC Leopard waliomaliza wa kwanza katika kundi B kwa kukusanya pointi 9 (ushindi wa asilimia 100) watakabiliana na Defence ya Ethiopia...

MADOGO WA U15 TANZANIA WASHIKA NAFASI YA PILI AYG

Na Boniface Wambura, Dar es salaam TANZANIA imeshika nafasi ya pili kwenye Michezo ya Afrika kwa Vijana (AYG) kwa upande wa mpira wa miguu kwa vijana wenye umri chini ya miaka 15 baada ya jana (Mei 29 mwaka huu) kuilaza Afrika Kusini mabao 2-0. Mechi hiyo ilichezwa Uwanja wa SSKB jijini Gaborone ambapo kwa matokeo hayo Tanzania imetwaa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili. Nigeria ndiyo ilishika nafasi ya kwanza na kutwaa medali...

ZILIZOSOMWA ZAIDI