Monday, April 22, 2013

HIZI NDO PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA NEY WA MITEGO FT DIAMOND - ''MUZIKI GANI?''

Katika kazi ambazo vijana wengi kwa sasa wamekuwa wakizisubiri kwa hamu ni pamoja na kazi hii yenye muunganiko wa Kichwa kinachofanya vizuri katika Bongo flava na kichwa kinachofanya vizuri pia katika muziki wa Hip Hop, hapa namzungumzia Ney wa Mitego akimshirikisha Diamond katika Nyimbo ya Muziki gani. 

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI