Sunday, January 13, 2013

SHEREHE ZA MIAKA 49 YA MAPINDUZI ZANZIBAR ZILIVYOFANA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akikagua Gwaride wakati wa Sherehe za Mapinduzi, zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar. (Picha : OMR)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar kwa ajili ya kuhudhuria katka sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,  Edward Lowassa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Ameir Pandu Kificho.
Viongozi mbalimbali wa Kitaifa walihudhuria sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI