NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Friday, November 30, 2012

CHADEMA YAJITATHMINI KINONDONI

 Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk Willibrod Slaa akifungua Mkutano Mkuu wa Jimbo la Kinondoni kuhusu Uhai wa Chama uliofanyika Makao Makuu ya chama hicho jijini Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Ofisa wa Sera na Utafiti wa Chadema, Mwita Mwikwabe Waitara na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Subira Waziri (wa tatu kulia).  Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akizungumza na wajumbe waliohudhuria...

AIRTEL YAMUANDALIA PARTY AY KUMPONGEZA KWA KUPATA USHINDI

 Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flava)  na Balozi wa Airttel Tanzania, Ambwene Yessaya 'AY' akiwa ameshika tuzo hiyo aliyozawadiwa hivi karibuni katika mashindano ya Chanel-O huko Afrika Kusini. Afisa Uhusiano wa Airtel Jane Matinde na Msanii wa muziki wa kizazi kipya (Bongo flava) kwa pamoja wakionyesha tuzo ya  Channel O  aliyoipata Mwanamuzi huyo nchini Afrika Kusini. Tukio...

TANZANIA YAKITAKA KITUO CHA CNN KUACHA UPOTOSHAJI JUU YA MPAKA WA TANZANIA NA MALAWI

SERIKALI ya Tanzania imekitaka kituo cha televisheni cha Kimataifa cha CNN kusahihisha taarifa potofu ilizotoa kuhusu mgogoro wa mpaka unaoendelea kati ya Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa. Taarifa hizo zinaonyesha kwamba mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye Ziwa Nyasa upo kwenye ufukwe wa Pwani ya Tanzania jambo ambalo Serikali imesema siyo sahihi. Akiongea na waaandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mkurugenzi...

Thursday, November 29, 2012

WILDAF NA SIKU 16 DHIDI YA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA TZ

Ni katika maandalizi ya Kipindi cha JAHARA kinachorushwa kila siku za wiki kuanzia Jumatatu mpaka Jumamosi, Pichani ni Mtangazaji wa kipindi hicho Bw Spencer Lameck na Bi. Anna Kulaya ambaye ni Afisa Mwandamizi katika shirika ambalo si la Kiserikali WILDAF. Bi. Ana Kulaya akiongea juu ya shirika la WILDAF lakini zaidi akieleza jinsi shirika hilo linavyofanya kazi, lakini pia akapata fursa ya kuielezea Kampeni ya SIKU 16 DHIDI YA VITENDO VYA...

WAOMBOLEZAJI: ''SAFARI NJEMA SHARO WETU''

ULIMWENGU WA HABARI KATIKA PICHA Jeneza  lenye  mwili wa Sharo Milionea  likitolewa  Wananchi  wakiwa na huzuni wakati  mwili wa Sharo Milionea  ukitolewa  Umati  wa  waombolezaji  wakiwa nyumbani kwa Sharo Milionea  Shekh akiombea  mwili  wa jeneza  leye mwili wa Sharo Milionea Waumini wa dini ya kiislamu  mkoani Tanga  wakiufanyia ...

Wednesday, November 28, 2012

BURUDANI: FUN - SOME NIGHTS [OFFICIAL VIDEO]

...

HOSPITALI YA SINZA, YALALAMIKIWA KWA KUCHAFUA MAZINGIRA

WANANCHI waishio karibu na hospitali ya Sinza Manispaa ya Kinondoni Jijini Dar es salaam wameilalamikia hospitali hiyo kwa kitendo cha kuchoma taka ambazo moshi wake unawaathiri kiafya kwa namna moja ama nyingine kwani huuvuta pindi taka hizo zinapochomwa. Eneo la nyuma la Hospitali hiyo ambalo bomba lake limekuwa likilalamikiwa kutoa moshi mkali ambalo umekuwa ni kero kwa wakazi hao. Bomba linalolalamikiwa kuwa linatoa moshi unaowaathiri...

STARS KUINGIA KAMBINI BAADA YA CHALENJI

Release No. 186 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Novemba 28, 2012 STARS KUINGIA KAMBINI BAADA YA CHALENJI Timu ya Taifa (Taifa Stars) inatarajia kuingia kambini baada ya kumalizika michuano ya Kombe la Chalenji inayofanyika Uwanja wa Taifa wa Mandela ulioko Namboole jijini Kampala, Uganda. Michuano hiyo iliyoanza Novemba 24 mwaka huu itamalizika Desemba 8 mwaka huu. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa timu hiyo Kim Poulsen, Stars itaingia kambini kujiandaa kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya mabingwa wa Afrika,...

ULIMWENGU WA HABARI: MAGAZETINI LEO!

...

Tuesday, November 27, 2012

2NDA MAN, RAYMOND WAMLILIA SHARO MILIONEA KATIKA R.I.P SHARO MILIONEA (PRODUCED BY MANECKY)

TUNAKUKUMBUKA ZAIDI KWA LADHA KAMA HIZI ULIZOTUACHI...

Monday, November 26, 2012

SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

Msanii maarufu wa Luninga, Sharo Milionea (pichani), amefariki dunia leo katiak ajali ya gari iliyotokea kijiji cha Lusanga, Muheza, mkoani Tanga. Kamanda wa Polisi Tanga, Constantine Massawe, amethibitisha kutokea kifo cha msanii huyo aliyekuwa aliyekuwa na vipaji vingi ikiwemo kuimba na kufanya michezo ya runinga.   MSANII nyota wa vichekesho na muziki wa kizazi kipya nchini, Hussein Ramadhani, maarufu kwa jina la...

Sunday, November 25, 2012

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MKOA MPYA WA KATAVI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkuu wa mkoa wa Katavi Dkt. Rajab Rutengwe wakizindua rasmi mkoa wa Katavi kwa kuweka jiwe la msingi katika kilima cha kijiji cha Kabungu kwa ajili ya kujenga kituo cha kumbukumbu ya historia ya mkoa wa Katavi, Kijiji Cha Kabungu ndipo palipozaliwa Wilaya ya Mpanda Mwaka 1947 na Boma la mtawala wa kwanza wa kikoloni Mpanda lilijengwa hapo, baada ya uwekaji...

ZILIZOSOMWA ZAIDI