MFALME wa Uswahilini, Wanamuita Msaga Sumu huku kwetu uswahili tunamjua sana si jambo la kushangaa maeneo ya Chamwino,Mafisa, Msamvu, Kichangani, Mwembesongo na mpaka sasa amevuka kila mahali sio tena uswahilini tu sasa mpaka ushuani wenyewe wanamuelewa, hakika ukisikia nyimbo zake hata kama ulikuwa hupendi miondoko hiyo basi utajikuta unatingisha hata kichwa na kujikuta unaanza kuipenda taratiiiiiiiiiiiibu, sasa tazama hii moja ya Show ambayo ame perform.
Friday, April 17, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ZILIZOSOMWA ZAIDI
-
STAA wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kamwe hapendi kuwa katika uhusiano wa kimape...
-
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII. ********** TAMKO LA SERIKALI KUHUSU TETESI ZA KUWEPO MGONJWA...
-
MMOJA kati ya viongozi wa juu wa Tip Top Connection, Madee amedai rapa Dogo Janja bado hajakuwa kwa kuweza kujisimamia katika muziki wak...
-
MCHEKESHAJI maarufu hapa nchini katika swaga za kimasai ambaye pia ni mmiliki wa masainyotambofu.info Gilliady Severine Kahema 'Ma...







0 comments:
Post a Comment