NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Friday, January 6, 2017

MEEK MILL AMCHANA NICKI MINAJ BAADA YA KUMWAGANA

Muda mfupi baada ya Nicki Minaj kutangaza kupitia Twitter kuwa ameachana na Meek Mill, rapper huyo amemchana demu wake huyo wa zamani kwenye Instagram. Alhamis hii, Meek aliweka picha Instagram ya viatu vyeupe brand ya Giuseppe Zanotti zenye mistari ya dhahabu na kuandika, “If you walk out don’t wear these, they wack.” Viatu alivyoviponda Meek ni vile ambalo Nicki Minaj alivivaa kwenye video ya wimbo wa mwaka 2013 alioshirikishwa...

ANGALIA *PICHAZ* ZA JENNIFER NA PATRICK WA KANUMBA WALIVYOKUWA WAKUBWA

HUENDA ukakutana barabarani na Hanifa Daud ‘Jennifer’ pamoja na Othman Njaidi ‘Patrick’ ambayo ni zao la marehemu Steven Kanumba na usiwafahamu kwa jinsi walivyokuwa wakubwa. Vijana hao wawili walifanya vizuri ndani ya filamu ya Uncle JJ pamoja na This Is It wakiwa na marehemu Steven Kanumba.  Jennifer ambaye mwaka 2014 alionekana kwenye filamu ya Zena na Betina ya Salma Jabu aka Nisha, amehitimu kidato cha nne mwaka huu. Kwa upande...

Q CHIEF AZUNGUMZIA KWANINI NGOMA ZAKE HAZIFANYI VIZURI PAMOJA NA MAPUNGUFU YA LABEL YA Q MHONDA

Q Chief akiwa na Mkurugugenzi wa Qs Mhonda Entertainment Msanii mkongwe wa muziki Q Chief amedai kuwa kuna mambo ambayo anakosea kwenye muziki wake ndiyo maana ngoma zake kadhaa alizoziachia hivi karibuni zimeshindwa kufanya vizuri zaidi kama alivyotarajia. Muimbaji huyo ambaye yupo chini ya label ya Qs Mhonda Entertainment, ameiambia Bongo5 kuwa hali hiyo imemfanya akae yeye pamoja na uongozi wake ili kulitafuta ufumbuzi suala hilo. “Baada...

RIYAD MAHREZ ATUMA UJUMBE KWA MASHABIKI BAADA YA KUSHINDA TUZO

NI furaha kwa kila mtu pindi mchango wake unapoonekana na kupewa zawadi – ndicho kilichomtokea Riyad Mahrez usiku wa Alhamisi hii baada ya kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa kuwabwaga washiriki wengine akiwemo Pierre-Emerick Aubameyang na Sadio Mane. Mahrez ambaye ni mchezaji wa Algeria amewashukuru mashabiki wote duniani kutokana na kuwa na msimu mzuri kwa mwaka jana na kufanikiwa kuisaidia timu yake ya Leicester City kushinda taji...

ANGALIA *PICHAZ&VIDEO* ZA WACHEZA DANSI 50 WALIOFUNGA MTAA KWA KUTUMBUIZA JUU YA MAGARI KUSHEREHESHA MAZISHI YA MWANASIASA TAIWAN

WACHEZA DANSI wa kike kwenye kumbi za usiku wapatao 50, wakiwa wamevalia vivazi vyeusi wamewaacha na mshangao wapita njia wakati wakiusindikiza mwili wa mwanasiasa mmoja aliyefariki mwezi Decemba nchini Taiwan. Kwenye msafara wanawake hao wakiwa juu ya magari ya aina ya “Jeep”, yenye rangi tofauti walikuwa wakicheza na kuimba na kusababisha foleni kubwa ya magari barabarani na watu wengi kubaki wakiwashangaa, kwa kuwa ni kinyume na tamaduni...

MAREKANI YAENDELEA NA MPANGO WA KUWAHAMISHA WAFUNGWA TOKA GUANTANAMO BAY

Mmoja kati ya wafungwa waliohamishwa kutoka Guantanamo Bay akisalimiana na ndugu zake MAREKANI imewaachia baadhi ya wafungwa wa Yemen waliokuwa wakishikiliwa katika gereza la Guantanamo Bay nchini Cuba. Makao makuu ya Pentagon yamethibitisha kuwahamisha wafungwa hao na kusema kuwa kwa sasa ni wafungwa 55 wamebakia katika gereza hilo. Mwandishi wa AFP amedai kuwa aliwaona wafungwa wanne wakishuka katika uwanja wa ndege wa Riyadh ambao umezoeleka...

ANGALIA BRAND NEW *VIDEO* YA JAGUAR FT EL – WARRIOR

...

BARUA ZA MKONO ALIZOANDIKA PRINCESS DIANA ZAUZWA KWA MAELFU YA POUND!

BARUA zilizoandikwa kwa mkono na marehemu Princess Diana zimeuzwa kwa maelfu ya pound kwenye mnada uliofanyika Alhamis hii nchini Uingereza. Barua hizo sita zilitumwa kwa Cyril Dickman, aliyekuwa mwangalizi mkuu wa ikulu ya Buckingham miaka ya 1980 na 1990. Katika barua moja iliyotumwa siku tano baada ya kuzaliwa kwa Harry, September 1984, Diana alimshukuru Dickman kwa kadi aliyomtumia na kueleza jinsi Prince William alivyokuwa akimpenda mdogo...

KUCHANGANYA POMBE NA VINYWAJI VYA KUONGEZA NGUVU (ENERGY DRINKS) NI HATARI KWA AFYA YAKO

MCHANGANYIKO wa pombe na vinywaji vya kuongeza nguvu vijulikanavyo kama Energy drinks vilitosha kumfanya akose usingizi na kuwa mwenye nguvu kwa muda wote kipindi alipokuwa akikesha katika kumbi tofauti tofauti za starehe katika katika jiji la Dar es Salaam wakati akisoma katika chuo kikuu cha Dar es Salaam. Lakini leo hii akizungumzia mambo yanayohusu afya yake na yako, kuchanganya pombe na Energy drinks ni jambo ambalo asingekushauri kabisa...

DAYNA NYANGE ACHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA BAE AWARDS ZA NIGERIA

MSANII wa Bongo Fleva, Dayna Nyange amechaguliwa kuwania tuzo za BAE Awards 2017 za nchini Nigeria akiwa ni msanii pekee kutoka Tanzania. Hitmaker huyo wa Komela amechaguliwa katika vipengele viwili ikiwemo kimoja cha BEST AFRICAN ACT akichuana na Eddy Kenzo (Uganda), King Kaka (Kenya), Stoneboy (Ghana), Jah Vinci (Jamaica). Kipengele kingine anachowania ni BEST VOCAL PERFORMANCE FEMALE kupitia wimbo wake ‘Angejua’ ambapo anawania tuzo hiyo...

UJUMBE WA SAMATTA ALIOMUANDIKIA NDINDI BAADA YA KUTUA LEICESTER CITY

Mbwana Samatta akiwa na Ndidi katika timu ya KRC Genk Nahodha wa timu ya taifa Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta ambaye anacheza katika klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji amemuandikia ujumbe wa kumtakia kila la kheri mchezaji mwenzake Wilfred Ndindi ambaye amesajiliwa na Leicester City ya Uingereza. Kiugo huyo wa zamani wa Genk alitambulishwa rasmi na mabingwa hao watetezi wa taji la ligi Kuu Uingereza akiwa kama mbadala sahihi wa Ng’olo Kante...

WAJERUMANI WASHAURIWA KUTEMBEA KAMA NDEGE PENGUIN ILI KUJIKINGA NA AJALI

MADAKTARI nchini Ujerumani wamewashauri raia kutembea kama ndege aina ya Penguin kwa lengo la kuepuka kuteleza na kuanguka katika kipindi hiki cha baridi jambo linalotokana na kuganda kwa barafu baraabarani. Madaktari nchini Ujerumani wamewashauri raia watembee kama ndege aina ya penguin katika kipindi hiki cha baridi kali lenye kuandamana na kuanguka kwa theluji ambazo baadae zinaganda na kuwa barafu katika maeneo mengi ya barabara. Kitengo...

JCB - 'KUFANYA KAZI NA MSANII WA BONGO FLEVA SI KITU KIBAYA'

RAPPER JCB amewapa somo wasanii wa Hip Hop na wadau wengine wasiopenda kuona msanii wa muziki huo akiachia wimbo wa pamoja na msanii wa Bongo Fleva. JCB amekiambia kipindi cha Ladha 3600 cha EFM Alhamisi hii kuwa msanii wa Hip Hop akifanya kazi na msanii mwingine anayefanya muziki tofauti na huo haimaanishi ndio ameusaliti muziki huo. “Kufanya Kazi na msanii wa Bongo Fleva haimaanishi umeisaliti Hip Hop,” amesema JCB. Hivi karibuni msanii huyo...

EL HADARY KUWEKA REKODI MICHUANO YA AFCON 2017

GOLIKIPA mkongwe wa Misri Essam El Hadary huenda akaibuka mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kucheza katika fainali za Kombe la Mataifa bingwa Afrika baada ya kutajwa kwenye kikosi kitakachowakilisha taifa hilo Gabon. El Hadary anatimiza miaka 43 mwezi huu na yumo kwenye kikosi cha wachezaji 23 wa Misri watakaosakata gozi Gabon. Rekodi ya sasa inashikiliwa na Mmisri mwingine Hossam Hassan aliyecheza mwaka 2006 akiwa na miaka 39. Kocha wa timu...

WAWILI WAHUKUMIWA KWENDA JELA CHINA KWA KUFUNGUA BENKI BANDIA NA KUWATAPELI WATU 400

MAHAKAMA mjini Nanjing, China, imewafunga jela wanaume wawili waliowatapeli wateja kupitia benki bandia, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wanaume hao waliotambuliwa kwa majina Zeng na He, walipatikana na makosa ya kujipatia yuan 435m (£51m; $63m) kutoka kwa wateja 400. Hukumu dhidi yao ilithibitishwa baada ya kesi dhidi yao kurudiwa, gazeti la People’s Daily limeripoti. Walianzisha chama cha ushirika ambacho afisi yake ndani zilifanana...

ZILIZOSOMWA ZAIDI