NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Tuesday, June 28, 2016

ANGALIA PRE SEND OFF YA VERONICA MAPUNDA MFANYAKAZI WA TV1 TANZANIA *VIDEO HD*

NDOA ni jambo lá Kheri na wawili wakutanapo na kupendana kwa dhati basi jambo hili kamwe huwa haliepukiki, kwa kuzitambua baraka zilizomo Kwenye ndoa Bw. Lameck Silas Makweta wa Makambako na Bi. Veronica Angelus Mapunda wa Dodoma ambao ni wafanyakazi wa TV Tanzania wameamua kuungana na kuwa mwili mmoja, hapa Kwenye link hii ya blue ni moja ya video kuhusiana na jinsi wawili Hawa walivyokutana na kuamua kufunga ndoa. Enjoy!!! Ni Part 1 ya PRE...

Thursday, June 23, 2016

NYOTA YA VANESSA MDEE YAZIDI KUNG'AA KIMATAIFA..ATAJWA KUWANIA TUZO NIGERIA

Msanii wa Bongofleva Vanessa Mdee jina lake limeingia kwenye headlines baada ya kutajwa katika moja kati ya tuzo kubwa Nigeria Entertainment, Vanessa ametajwa kuwania tuzo zinazoitwa Nigeria Entertainment Awards. Jina la muimbaji Vanessa Mdee limetajwa katika kipengele cha kuwania tuzo ya muimbaji bora wa kike, katika kipengele hicho Vanessa anawania tuzo hiyo na wasanii wengine saba kutoka nchi mbalimbali, Nigeria Entertainment Awards zitafanyika...

UGONJWA ULIOZUIA MAHAFALI YA CHADEMA WAJULIKANA

Serikali imesema uchunguzi wa awali wa vifo vya watu wanane mkoani Dodoma umeonyesha kuwa vilitokana na familia kula ugali wa unga wa mahindi wenye sumu kuvu B (aflatoxins B). Jeshi la Polisi lilizuia mahafali ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya mkoani Dodoma ambao ni wafuasi wa Chadema yaliyokuwa yafanyike kwenye hoteli ya African Dream, likisema mikusanyiko yote imezuiwa baada ya kuzuka ugonjwa usiojulikana ambao awali uliua watu sita. Wakati...

''MAVOKO: NITAKIPIGA BRUSH KIMOMBO CHANGU, SITAKI KUUMBUKA KAMA ILIVYONITOKEA LONDON''

Kiingereza ni lugha inayotupa tabu Watanzania wengi na hakuna anayebisha kuwa kimekuwa kikitukosesha fursa nyingi za kimataifa au kujikuta tukiumbuka. Rich Mavoko ni mmoja wao na amesema atalazimika kufuata njia ya bosi wake, Diamond ili kujinoa zaidi kuepuka kuumbuka siku za usoni. “Mwaka jana nilienda London, nikakutana na mtu anaongea Kiingereza pale pale lakini mbona kuna vitu sivielewi anavyoongea, alikuwa ni mhindi ambaye amezaliwa kule...

MHARIRI MKUU WA GAZETI LA DIRA ASIMAMISHWA KAZI

Mkurugenzi Mkuu wa gazeti la Dira Alex Msama, amemsimamisha kazi aliyekuwa Mhariri wa Habari wa Gazeti  hilo la Dira ya Mtanzania Mussa Mukama kutokana na mapungufu ya kiutendaji kwa kuonesha dhahiri kutomudu nafasi hiyo. Msama pia amemuomba radhi Waziri wa Sheria na katiba, Dk. Harrison Mwakyembe kufuatia habari mbili zilizochapishwa kwenye lake, mbele ya waandishi wa habari Msama amekubali kuwa habari hiyo iliyobeba...

ZILIZOSOMWA ZAIDI