NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Sunday, June 28, 2015

ZIARA YA KINANA KATIKA JIMBO LA NYAMAGANA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi kutoka wilaya ya Nyamagana wanaounda makundi ya Machinga,Bodaboda, na Mama Lishe kwenye uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na makundi ya Mama Lishe ,Machinga na Boda boda katika kikao kilichofanyika kwenye uwanja wa CCM Kirumba.  Baadhi ya Mama lishe waliohudhulia kikao na Katibu Mkuu wa...

RAY C FOUNDATION YASAIDIA VIJANA ZAIDI YA 70 KUACHANA MADAWA YA KULEVYA

Mwanadada aliyewahi kung’ara kwenye tasnia ya muziki nchini na Afrika Mashariki, Rehema Chalamila ‘Ray C’ akihojiwa na wandishi wa habari wakati wa kilele cha siku ya Kimataifa kupinga matumizi ya dawa za kulevya na usafirishaji, iliyofanyika Juni 26, Bagamoyo-Pwani. Na Andrew Chale, Modewjiblog, Bagamoyo. *********** MWANADADA aliyewahi kung’ara katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya, Rehema Chalamila ‘Ray C’ amesema moja ya sababu...

HII NI FASHION AU AIBU????? SHUSHA COMMENT YAKO HAPA!!

...

KINGUNGE ANUSA MCHEZO MCHAFU URAIS NDANI YA CCM

Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Kingunge Ngombare Mwiru. ********* Dar es Salaam.  Mwanasiasa mkongwe na kada wa CCM, Kingunge Ngombare Mwiru (Pichani) amesema anahisi kuna mchezo mchafu unapangwa kwenye mchakato wa kupata mgombea wa urais wa chama hicho tawala, akitaja idadi kubwa ya waliojitokeza kuwa ni ishara mbaya.Mwanasiasa huyo mkongwe aliyefanya kazi na marais wa awamu zote nne, pia, bila kumtaja jina, alitumia...

UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATINUMZ *PICHA*

&nbs...

WACHEKI KABLA NA BAADA YA MAARUFU AY, SALAMA, AMINI NA LINAH!!! *PICHAZ*

AY & SALAMA JABIR #ZAMANI AY & SALAMA JABIR SASA    LINAH & AMIN #TBT   LINAH & AMIN #SASA...

IDADI YA WALIOUAWA HOTELINI TUNISIA YAZIDI KUONGEZEKA

  Waliouawa na wakitolewa eneo la ufukweni.  Eneo la ufukwe ambapo shambulio hilo lilitekelezwa.   Waliouawa, miili yao ikiwa imefunikwa.  Mmoja kati ya waliotekeleza shambulio hilo akipewa kipigo baada ya kukamatwa na Maofisa wa Ulinzi wa Tunisia.  Maofisa wa Ulinzi wakiimarisha ulinza eneo la tukio.  Rais wa Tunisia, Beji Caid Essebsi akimsalimia mmoja kati ya majeruhi wa shambulio hilo.Sousse, TunisiaKutokana ...

WASICHANA WA AINA HII NI HATARI SANA KUWA NAO KIMAPENZI

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini….. 1.Demu wako wa zamani  Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakikamwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio sababu ya iliyopelekea kuvunjika kwa mahusiano yenu, ndani ya hizo sababu kuna vitu vilivyopolekea kutokea kwa hayo,...

MAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR KUMUAGA MHARIRI EDSON KAMUKARA

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam jana asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera. Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Reginald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia...

ZILIZOSOMWA ZAIDI