Monday, May 18, 2015

FLAVIANA MATATA AONGOZA MAMIA YA WANAMITINDO WA BONGO KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata.
Wanamitindo wakiwa kwenye foleni ya kupiga picha tayari kujipatia vitambulisho baada ya kukamilisha zoezi la kujaza fomu za kujiunga na mpango wa PSS wa Mfuko huo.
Wanamitindo wakijaza fomu za kujiunga na mpango wa uchangiaji wa hiari PSS.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI