Monday, December 22, 2014

WOLPER: 'SIKUWAHI KUVAA NGUO FUPI...LAKINI LEO BEACH..!!!!'

MREMBO na mwigizaji wa kike wa filamu hapa nchini, Jackline Masawe “Wolper” amekuwa akisifiwa kwa kuvaa nguo za heshima ukilinganisha na mavazi wanayovaa baadhi ya mastaa wengine hapa Bongo wakiwa mitaani au kwenye burudani.Sasa jana mrembo huyu akatupia picha hizi akiwa beach amevalia ka-pensi keupe huku juu amavalia brauzi nyeusi na kofia nyeupe kichwanina huku akicheza na ka-"DOG"..
Kisha akawaandikia hivi mashabiki wake;
"Sikuwahi kuvaa nguo fupi wakati naenda kanisani au sokoni nawakati wote mmekua mkinisifia navaa nguo za heshima sasa mkitaka niiheshm paka beach mtakua mmetishaa saana wana ndugu mnaojua sheria humu insta so mnataka beach nivae kanic au komeni pita like utaki pita".

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI