Saturday, December 20, 2014

SIKILIZA NA U-DOWNLOAD WIMBO MPYA WA RAY C - MSHUM MSHUM *AUDIO*

 
 UKIISIKIA sauti ya leo ya Ray c  huwezi kumtofautisha kabisa na Ray c yule wa kitambo, sauti ile ile na swaga zile zile. Hapa anakwambia Mshum  mshum. Huu niwimbo wake wa kwanza tangu aamue kurudi katika game baada ya kukaa kando kwa muda sasa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI