Sunday, December 21, 2014

HII NDIO REKODI NYINGINE ILIYOWEKWA NA MWANASOKA RONALDO...SOMA HAPA!

Cristiano Ronaldo amekua mchezaji wa kwanza duniani kuzoa vikombe vyote kwa ngazi ya club vya ligi ya ndani ya nchi husika anayocheza akiwa na vilabu viwili tofauti.
akiwa na Man united Ronaldo alifanikwa kushinda mataji yafuatayo>

TUZO MBALI MBALI BINAFSI ALIZOSHINDA AKIWA NA VILABU VYA MAN UTD NA REAL MADRID

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI