Saturday, December 20, 2014

HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA: HATIMAYE SHILOLE AVISHWA PETE YA UCHUMBA NA NUH MZIWANDA

 MWIGIZAJI na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed  “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili  usiku wa tar 20 akishereke siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
 
Mkono wa Shishi ukioneshwa mbele ya vyombo vya habari kuwahakikishia mashabiki wake na dunia kwa ujumla kuwa sasa ni mchumba halali wa Nuh Mziwanda.
ULIMWENGU WA HABARI Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI