Saturday, December 27, 2014

ANGALIA JAY Z NA MKEWE BEYONCE 'THE CARTERS' WALIVYO SHEHEREKEA BIRTHDAY YA JAY Z *PICHAZ*

 NI kweli Beyonce anajua kumfanya Jay Z awe mtu mwenye raha sasa kama inavyonyesha kwenye baadhi ya picha walizopiga kwenye siku ya kuzaliwa ya Jay Z ‘Dec 4′.
Wawili hawa walikwenda  Iceland kujiachia kwa muda huku wakisherehekea miaka 45 ya maisha ya Jay Z







0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI