Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini, Barabarani, Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hivi:-
FACEBOOK:
ZITTO KABWE:
Niseme nini? Mimi sio Diamond wa nimpende nani, wala Ali Kiba wa Mwana. Sio Linex wa Wema kwa Ubaya wala Ommy wa Dimples wa Ndagushima. Nisemeje?
Masanja Mkandamizaji:
Usiwahukumu watu wanapopatwa na matatizo. Kama huwezi kuwasaidia kwa lolote at least muombe Mungu awatazame katika hali yao. Kuna kesho
INSTAGRAM
Jerry Slaa:
Nkololo tunawashukuru kwa mkutano mzuri, Asante JK kwa kutimiza ahadi ya umeme Nkololo, leo mafundi welding, hoteli, saloon wote wanajiingizia kipato kwa nishati ya umeme Nkololo…. Hatua kubwa ya maendeleo…..
VanessaMdee:
JITAMBUE: ni vyema kusikiliza ushauri wa wengi, ila mwisho wa siku ni vyema zaidi kuwa na ujasiri wa kufanya maamuzi yako mwenyewe kadri moyo wako unavyokutuma. Happy Money Monday #Sir
Shilole:
Balaa lingine kutoka kwa @kalajeremiah akimshirikisha #Nuruwell linakuja hivi karibuni #USIKATETAMAA Namm na sema hakuna kukata tamaapaka kieleweke
TWITTER:
1.@FlavianaMatata:
”Truthful lips endure forever, but a lying tongue lasts only a moment” Proverbs 12:19
2.@Izzobizness
Heshima wanastahili wale wasioupa mgongo ukweli, hata pale mambo yanapoonekana kufunikwa na giza na kutokufurahisha.
0 comments:
Post a Comment