Monday, October 6, 2014

VITU VIZURI... NI KWA AJILI YA NANI?

Keki taaaamuuuu.
Chakula kizuri na kilicho na mvuto
Maeneno mazuri ya kuvutia
Vitu vilivyotengenezwa kwa mikono kama hiki kikapu
Vitu vya zamani kama haya masanduku

Maua mazuri

Gauni zuuuri na la kuvutia.

VITU vizuri, usafi wa nyumba ni vitu ambavyo vinaleta nyongeza ya furaha katika maisha yetu ya kila siku. 
Hivyo ni muhimu kuvipa umuhimu wake, kuvitunza na kujifunza zaidi jinsi ya kuvijumuisha katika maisha yetu ya kila siku.
Kwa mfano ukipakua chakula kwanini usijiwekee kwenye sahani nzuri wewe mwenyewe kuliko kuweka tu sahani nzuri kabatini eti za wageni?.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI