Sunday, October 5, 2014

JOH MAKINI ATUPIA PICHA AKIWA NDANI YA STUDIO, KITU KINGINE KINANUKIA BAADA YA I SEE ME *PICHA*

joh makini
JOH MAKINI ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kurekodi nyimbo kadha na kuwa nazo kabatini mpaka muda unapofika wa kuzitoa, I See Me ndio wimbo wa mwisho kutoka kwa Joh Makini, Video ipo tayari na wiki iliyopita alisema inatoka ndani ya mwezi wa Kumi 2014.
johmakini

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI