Friday, August 1, 2014

SELENA GOMEZ AVUNJA REKODI YA KUVAA NGUO FUPI, LOS ANGELES

SELENA Gomez amevunja rekodi ya kuvaa kaptura fupi ambayo hata wazungu wenyewe wamemshangaa kwa kitendo hicho hapo mnamo alhamis ya julai 31.
Mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 22 aligwa picha na mapaparazi huko Los Angeles akiwa amevalia kishati flani cha draft na akivaa kikoti cheusi upande mmoja wa bega, kaptura fuuupi na miwani usoni mwake ambapo inasemekana alikuwa akielekea katika mkutano, chanzo kilichopata picha hizo kiliripoti.
Kwa muda flani mwanadada Selena ambaye amekua na tabia zisizo za kueleweka alikuwa mapumzikoni nchini Ufaransa, alisherehekea siku yake ya kuzaliwa katika boti huku akiwa na supermodel Cara Delevingne huko St. Tropez.

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI