![Cindy Rulz](http://i1.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2014/08/Cindy-Rulz1.jpg?resize=317%2C282)
Cindy Rulz
RAPPER Cindy Rulz amekuwa miongoni mwa wasanii
waliotajwa kuwania tuzo za wasanii wanaochipukia za Marekani [ UnderGround Music Awards >UMA'S].
Hizi tuzo
hutolewa kwa wasanii, Producers wa muziki wanaojitegemea na waandishi wa nyimbo.
Cindy Rulz ametajwa kama msanii peke kutoka
Africa Kuwania tuzo hizi.
Cindy yupo kwenye kipengele cha ‘Msanii bora wa
Kimataifa’ [Best International Artist] akiwa na wasanii kama Joe Young, Apollo,
Escobar na Fil Straughan.
Wasanii wakubwa waliowahi kushinda tuzo hizi na
baadae mambo yao kufanikiwa ni pamoja na MIMS, Nicki Minaj, J Cole, Styles P,
Rapper Papoose, Freeway, Remy Ma na Lil Mama
![Cindy 14](http://i0.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2014/08/Cindy-14.jpg?resize=366%2C164)
0 comments:
Post a Comment