Thursday, July 31, 2014

JOEL CAMPBELL AANZA JALAMBA NA ASERNAL, WENGER AMTAZAMA KWA JICHO LA TATU

Looking to impress: Striker Joel Campbell has joined his Arsenal team mates at their training camp in Austria

Anaonekana kuvutia: Mshambuliaji, Joel Campbell amejiunga na wachezaji wenzake wa Arsenal katika kambi ya  Austria.
JOEL Campbell amepigwa picha akifanya mazoezi kwa mara ya kwanza na kikosi cha Asernal.Nyota huyo mwenye miaka 22 alishiriki mazoezi hayo huko Austria, ambapo klabu imeweka kambi ya siku nne kabla ya kurudi kuwa mwenyeji wa kombe la Emirates.Katika kombe hilo, Asernal itacheza dhidi ya Benfica na Monoca.
Msimu uliopita Campbell alionesha kiwango kizuri akiwa na mabingwa wa Ugiriki , Olympiacos, akifunga mabao 7 yakiwemo mawili dhidi ya Manchester United katika hatua ya 16 ya ligi ya mabingwa Ulaya.
Taking note: Arsene Wenger is keeping a watchful eye on the progress of Joel Campbell in Austria
Arsene Wenger akimtazama kwa umakini  Joel Campbell nchini Austria
Skills: Campbell will be hoping to show off his extensive skill set for Arsenal this campaign
Ujuzi: Campbell anatarajia kuonesha ujuzi wake akiwa na Asernal msimu ujao.
Na Mpenja blog

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI