Sunday, December 9, 2012

AJALI YATOKEA MLIMA KITONGA IRINGA

Habari na Picha kwa hisani ya Francis godwin

Ajali yasababisha msongamano wa magari katika Mlima Kitonga barabara kuu ya Iringa -Mbeya baada ya lori kuanguka katika  eneo hilo .kutokana na ajali hiyo baadhi ya mabasi ya abiria  yanayokwenda Dar na kutoka mikoa ya kusini yalikwama kwa muda mchana  wa  leo hadi lori hilo  lilipovutwa  eneo hilo hakuna aliyepoteza maisha

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI