NYUMBANI KITAIFA

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BIASHARA

Ulimwengu wa habari.

MATAIFA MENGINE

Ulimwengu wa habari.

KATIKA BURUDANI

Ulimwengu wa habari.

MAAJABU DUNIANI

Ulimwengu wa habari.

Thursday, December 13, 2012

WANABLOG TUJIFUNZE KATIKA HILI

Kutoka Misri MAHAKAMA moja nchini Misri imempa mwanablogu mmoja kifungo cha miaka mitatu gerezani kwa kukufuru na kudharau dini. Alber Saber alikamatwa mwezi wa tisa baada ya majirani kumlaumu kwama ndiye aliweka kilinganishi cha mtandao kilichoashiria sinema iliyoidhihaki dini ya Kiisilamu, na iliyosababisha...

Wednesday, December 12, 2012

PICHA 3 ZA CAKE YA BIRTHDAY YA WOLPER

...

RAIS DK. JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA WATANZANIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANZANIA UWANJA WA UHURU

Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dk.Jakaya Kikwete akiwasili katika gari maalum la Kijeshi na Mkuu wa majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kwenye uwanja wa uhuru kwa ajili ya maadhimisho ya miaka 51 Uhuru wa Tanzania Bara 2012 yanayofanyika kila mwaka Desemba 9, Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu ni “Uwajibikaji, Uadilifu na Uzalendo ni nguzo ya Maendeleo ya Taifa letu” Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri...

Sunday, December 9, 2012

NIYONZIMA AONGEZA MKATABA WA MIAKA 2 YANGA KWA DOLA 70,000 NA MSHAHARA WA DOLA 3,000

Habari na Picha kwa hisani ya Shaffih Dauda Zikiwa zimepita siku kadhaa za mazungumzo juu ya kuongezwa kwa muda wa mkataba kiungo mshambuliaji wa Dar Young African - Haruna Niyonzima, hatimaye siku ya jana klabu bingwa ya Afrika mashariki na kati imefanikiwa kukubaliana kimsingi na mchezaji huyo kumuongezea mkataba mpya.Taarifa rasmi nilizozipata ni kwamba Haruna Niyonzima ambaye amebakiza miezi sita katika mkataba wake na Yanga...

ULIMWENGU WA HABARI: MAGAZETINI LEO

...

SWAHILI FASHION WEEK BAAB KUBWA!

Kama wewe ni mpenda mitindo basi jionee mwenyewe jinsi models walivyoonekana vizuri katika Ukumbi wa Golden Tulip ikiwa ni maonesho kwaajili ya wabunifu wachanga na waliobobea kuweza kutafuta masoko ya nje, ikifanya na USAID COMPETE shirika linalokuza vipaji vya watu mbalimbali.   ...

AJALI YATOKEA MLIMA KITONGA IRINGA

Habari na Picha kwa hisani ya Francis godwin Ajali yasababisha msongamano wa magari katika Mlima Kitonga barabara kuu ya Iringa -Mbeya baada ya lori kuanguka katika  eneo hilo .kutokana na ajali hiyo baadhi ya mabasi ya abiria  yanayokwenda Dar na kutoka mikoa ya kusini yalikwama kwa muda mchana  wa  leo hadi lori hilo  lilipovutwa  eneo hilo hakuna aliyepoteza maisha...

Saturday, December 8, 2012

JIPANGE WOMEN GROUP YAENDELEA NA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI

Normal 0 false false false EN-US JA X-NONE ...

Friday, December 7, 2012

WAMA WATOA VITANDA 80 MUHIMBILI

Mwenyekiti wa Wama mama Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vitanda 80 kwa uongozi wa Hospitali ya Muhimbili leo, kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dk. Hussein Mwinyi na kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili Dk Marina Njelekela. PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM Mama Salma Kikwete akisoma hotuba yake mara baada ya kukabidhi vitanda 80 katika hospitali ya Muhimbili leo (kushoto) ni Waziri wa Afya na Ustawi ...

ZILIZOSOMWA ZAIDI