
Neymar
Baada ya kipigo cha goli 4 kwa bila kutoka kwa wapinzani wao Barcelona, habari za chini chini zilianza kusambaa kuwa Real Madrid inataka kuweka dau kwa staa wa Barcelona, Neymar.
Tetesi hizo zilidokeza kuwa rais wa Real Madrid, Florentino Perez alikuwa tayari kumuwekea mezani Neymar kitita cha Euro Milioni 190 ili kupata saini ya nyota huyo.
Baada ya tetesi hizo mtandao wa Espnfc umeripoti kuwa Neymar amesema hayupo tayari kujiunga...