Sunday, May 24, 2015

ZIFAHAMU CATEGORIES ZOTE ZA 'MAMA' MTV AFRICA MUSIC AWARDS 2015 HAPA!!!

mama
MTV Africa Music Awards 2015 zinarudi tena kwa msimu wa tano.

Tujiandae kuwaona mastaa kwenye Red carpet South Africa ambako Tuzo za MTV zitakuwa zinatolewa pale Durban International Convention Centre July 2015.
Hapa nina categories zote zilizotambulishwa.
 MTV
Tuna mastaa wetu ambao Afrika inawajua kabisa kwenye muziki.. wewe unadhani nani na nani watatuwakilisha hapa?

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI