
Hatimaye
Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video
ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile kinachoimbwa.
Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds FM, Alikiba amesema
alichokifanya alimaanisha hivyo kuleta picha mpya kwenye vichwa vya
watu.
“Utofauti wa video ndio uzuri wake kwa sababu kila mtu kwenye mind yake
amejenga video, ame-create video itakuwa vipi,” amesema. Kwa sababu...