Friday, November 28, 2014

MWANAMKE MJAMZITO AKUTWA AKIFANYA MAPENZI WODINI

MWANAMKE mmoja aliyekuwa wodini akisubiria kujifungua amekutwa akifanya mapenzi na mpenzi wake wakisubiria mtoto azaliwe.
Wapenzi hao waligunduliwa na mmoja wa wafanya usafi wa hospitali hiyo ambaye aliisikia miguno ya wawili hao kutoka chumba binafsi cha kujifungua.
Mfanya usafi aliwataarifu wakubwa wake juu ya alichokishuhudia lakini alipatwa na mshangao alipoambiwa kuwa hakukuwa na tatizo wapenzi hao kushiriki kwa kuwa hakuna sheria kwenye hospitali hiyo inayozuia watu wa aina hiyo kufanya mapenzi wodini.
Chanzo: Dailymail

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI