Saturday, November 15, 2014

AHAHAHAHAAA...NIMECHEKA SANA BBADA YA KUMUONA DAYNA NYANGE KATIKA HII KOMEDY MATATA *VIDEO*

  Ikiwa ni sehemu ya matumizi ya Technologia ikiwamo mazuri au mabaya, lakini hii imenichekesha nawe itakufanya ucheke. Tazama wimbo huu wa Dayna Nyange unaofanya poa sana kwa sasa I DO, Wataalamu wametengenezea commedy zake zikionesha wanyama wakicheza wimbo huwo

0 comments:

Post a Comment

ZILIZOSOMWA ZAIDI